Msigwa: Iringa Tulitumia Vifaa vya Australia Kuwanasa Madiwani Wanaohongwa Wahamie CCM

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amefunguka na kusema kuwa biashara ya kununua madiwani wa CHADEMA pia ilifanyika Iringa na kusema kuwa wao walitumia vifaa kutoka Australia kubaini hilo. Peter Msigwa amesema hayo leo jijini Dar es Salaam baada ya kutoka Ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ambapo walikwenda kuwasilisha ushahidi wa...
Read More

No comments:

Post a Comment