Tume ya mawasiliano nchini Uganda (UCC) imepiga marufuku kwa vyombo vya habari nchini humo kufanya 'interview' na mwanamuziki Bobi Wine, baada ya kuonekana kinara kwenye suala la kupinga ukomo wa urais nchini humo. Taarifa hiyo imetolewa na mwenyewe Bobi Wine ambaye pia ni mbunge wa upinzani nchini humo kwenye ukurasa wake wa instagram akisema kuwa...
No comments:
Post a Comment