Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limempa siku 3 tu Sheikh Issa Ponda, ili kujisalimisha na kuhojiwa kuhusu tuhuma zinazomkabili, na iwapo hatafanya hivyo watamchukulia sheria stahiki. Tarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Lazaro Mambosasa alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, na kusema kwamba ndani ya siku hizo 3 lazima awe amekwenda kujisalimisha, la sivyo...
No comments:
Post a Comment