Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameelezea jinsi mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu anavyopanga mikakati ya kurejea katika siasa baada ya kupona. Ponda amesema hayo baada ya kumtembelea Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini Kenya alikopelekwa baada ya kushambuliwa kwa takriban risasi 30 akiwa ndani ya gari, nje ya makazi yake mjini Dodoma...
No comments:
Post a Comment