Zitto Kabwe Alia na Kibano Kipya Vyama vya Siasa

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa serikali ya awamu ya tano inadhamira ya kuuwa vyama vya upinzani nchini kwa muswada wa sheria ambao umesambazwa kwenye vyama vya siasa. Zitto Kabwe anasema muswada huo ambao umesambazwa tayari kwa vyama vya siasa ni kama hukumu ya kuviuwa vyama vya upinzania nchini kwani kuna vifungu ambavyo...
Read More

No comments:

Post a Comment