Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda akituhumiwa kutoa lugha za kichochezi. Inadaiwa juzi Jumatano, Sheikh Ponda akizungumza na waandishi wa habari alizungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa na kutoa taarifa ya kile alichozungumza na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu alipokwenda kumtembelea...
No comments:
Post a Comment