Vyama vya Siasa Vyabanwa.....Sheria Kufanyiwa Marekebisho Mikutano ya Hadhara Ifanyike wakati wa Uchaguzi Pekee

Rasimu ya Sheria ya Vyama vya Siasa inayotarajiwa kufanyiwa marekebisho kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao, inapendekeza kufutwa kwa mikutano ya hadhara hadi wakati wa uchaguzi pekee. Rasimu hiyo, ambayo imetumwa kwa vyama vya siasa kwa ajili ya kutoa maoni yao, pia inapendekeza ruzuku ilipwe mara moja na kwa vyama vyote kulingana na idadi ya kura za urais katika Uchaguzi Mkuu. Iwapo mabadiliko...
Read More

No comments:

Post a Comment