Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ijumaa hii limeonya kuhusu kupungua kwa kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania, likisema kuwa serikali inafaa kuchukua hatua za haraka ili kubadilisha mwelekeo wa kushuka. Katika taarifa yake mpya kuhusu uchumi wa Tanzania, IMF imesema kuwa, licha ya kuwa takwimu za pato la taifa kuoyesha kukua, lakini takwimu ningine za uchumi zinaeleza kudorora kwa shughuli...
No comments:
Post a Comment