Viongozi sita wa Chadema, wamenyimwa dhamana na watakaa rumande hadi Machi 29. Hayo yameelezwa leo Machi 27, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Akitoa uamuzi huo, Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri amesema watuhumiwa hao sita watakaa rumande hadi Machi 29 kusubiri kama Mahakama itatoa uamuzi wa dhamana au la. Wamesomewa mashtaka hayo leo katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu...
No comments:
Post a Comment