Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wamesomewa mashtaka manane katika Mahakama ya Kisutu ikiwemo kufanya maandamano yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi wa Chuo cha NIT, Akwilina Akwiline. Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na Wakili wa Serikali, Faraja Nchimbi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri. Wakili Nchimbi amedai kuwa kosa la kwanza...
No comments:
Post a Comment