Kubenea kudai Tume huru ya uchaguzi

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amemtaka Waziri wa Katiba wa Sheria na Katiba Prof. Paramagamba Kabudi kubeba hoja yake binafsi aliyowasilisha Bungeni siku za hivi karibuni ili kuweza kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi kabla ya chaguzi zijazo. Kubenea ametoa kauli hiyo leo (Machi 11, 2018) wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam na kusema lengo la yeye kupeleka...
Read More

No comments:

Post a Comment