Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu Machi 14,2018 atafanyiwa upasuaji wa 19 katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven nchini Ubelgiji. Upasuaji huo ni mwendelezo wa ambazo amekuwa akifanyiwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya alikokuwa amelazwa baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa katika makazi yake mjini Dodoma Septemba 7,2017. Alipatiwa huduma za awali katika...
No comments:
Post a Comment