Mbowe Alalamika Kunyang’anywa Gari La Serikali

Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe amesema amenyang’anywa gari la serikali alilokuwa akitumia na Ofisi ya Bunge ambalo ni haki yake kuwa nalo. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana Jumatano Aprili 4, Mbowe alisema amenyang’anywa gari hilo tangu Januari, mwaka huu. “Sina gari la serikali wala dereva, nilinyang’anywa tangu Januari natembelea gari...
Read More

No comments:

Post a Comment