Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), imesema haitasoma hotuba wala taarifa zake bungeni endapo utaratibu wa kuziwasilisha kwa Katibu wa Bunge hatua ya kuhaririwa kwanza kabla ya kusomwa bungeni itaendelea. Pamoja na hayo, wamesema hawatatusa bunge kwa ajili hiyo wala sababu nyingine yoyote. Mwenyekiti wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amesema hayo jana Mjini Dodoma wakati...


No comments:
Post a Comment