Mbunge John Heche Kafikishwa Mahakamani Leo na Kuunganishwa Katika Kesi ya Akina Mbowe

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka matatu yakiwamo kufanya uchochezi wa chuki kwa wananchi dhidi ya serikali.Heche amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi aprili 5, baada ya kujisalimisha polisi alikokua akishikiliwa tangu juzi. Akisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, Heche anadaiwa kutenda...
Read More

No comments:

Post a Comment