Ester Bulaya Naye Kaitwa Polisi Central

Mbunge wa Bunda Mjini kupitia CHADEMA Ester Amos Bulaya, ameitwa kituo cha polisi cha kati jijini Dar es salaam huku akiwa hana taarifa za sababu ya wito huo Ester Bulaya amesema amepata taarifa za kuitwa kwake polisi kutoka kwa mwanasheria wake na hivi sasa yuko njiani kuelekea kituoni hapo, ingawa hajui kitakachomkuta huko. “Ni kweli nimepata taarifa kutoka kwa mwanasheria wangu, naitwa...
Read More

No comments:

Post a Comment