Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, July 2,2018 inatarajia kutoa uamuzi wa muda wa kusitisha ama kutositisha usikilizaji wa kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA akiwemo mwenyekiti wake Freeman Mbowe. Hatua hiyo imekuja baada ya upande wa mashtaka kupinga maombi yaliyowasilishwa na upande wa utetezi. Wakili wa Serikali Mkuu, Paul Kadushi amewasilisha maombi hati kinzani mbele ya Hakimu Mkazi...
No comments:
Post a Comment