Mrembo kutokea nchini Kenya, Huddah Monroe amefunguka kitu ambacho kinavutia wanaume kutoka kwake. Mrembo huyo ambaye alikuwa hapa nchini hivi karibuni, katika mahojiano na Wasafi TV amesema tabasamu lake ndilo linavutia wanaume wengi. “Which part on my body wanaume wengi wapo attractive is….., I think is my smile,” amesema Huddah. June 17, 2018 katika show ya Harmonize ‘Kusi Night’,...
No comments:
Post a Comment