Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameamua kuondoa utata kutokana na kile ambacho kimekuwa kikihojiwa na baadhi ya watu kuhusu shambulio alilopitia Septemba 7, 2017 Area D huko mkoani Dodoma. Mbunge huyo amesema kwamba mara nyingi hapendi kujibizana na watu wanaohisi kwamba maswali kuhusu shambulio lake yanaweza kukosa majibu kutoka kwa viongozi wa chama chake ambapo amesema yeye...
No comments:
Post a Comment