Afisa Mchunguzi wa TRA, Tumaini Fadhir ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa Ofisa Msaidizi wa Forodha wa mamlaka hiyo, Jennifer Mushi anayekabiliwa na kesi ya kumiliki magari 19 yenye thamani ya Shilingi Milioni 197 aliajiriwa TRA na mali zake. Afisa huyo ameyaeleza hayo wakati akiongozwa na wakili wa Jennifer, Fulgence Masawe kutoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma...
No comments:
Post a Comment