Lema awaomba wakazi Arusha Kuipiga chini CCM na Kuchagua CHADEMA

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amewataka wakazi wa Arusha, kuonesha hasira zao za kuwa na maisha magumu kwa kuwachagua wagombea wa udiwani wa Chadema. Akizungumza jana katika uzinduzi wa kampeni katika Kata ya Daraja Mbili, Lema alisema Chadema inaingia katika uchaguzi mdogo ili kuonyesha majaribu ambayo Taifa linapita kwa sasa licha ya hofu kutawala .  "Katika uchaguzi...
Read More

No comments:

Post a Comment