Ajari ya Gari Ndogo na Lori Yaua Watu Wawili Babati

Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada lori la Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani, Manyara kuligonga kwa nyuma gari dogo eneo la Bashnet. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara Kamishna Msaidizi (ACP) Augustino Senga amesema tukio hilo limelotokea Julai 17 saa 1 usiku eneo la Arry kata ya Bashnet barabara kuu ya Babati-Singida. Akizungumza leo Julai 18, Kamanda Senga amesema...
Read More

No comments:

Post a Comment