Mkazi wa Wilaya ya Ngara, Kagera Justin Emmanuel (31) amefikishwa Mahakama ya Wilaya Misungwi mkoani Mwanza, kwa tuhuma ya kutoa lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli. Mwendesha mashtaka wa polisi Ramsoney Sarehe alisoma hati ya mashtaka mbele ya ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Erick Marley leo Julai 3. Sarehe amesema mshtakiwa alitenda kosa hilo kinyume na kifungu...
No comments:
Post a Comment