Museven Ruksa Kugombea Tena....Ni Baada ya Mahakama Uganda Kuidhinisha Sheria Ya Kikomo Cha Umri Wa Urais

Mahakama ya Katiba nchini Uganda leo imeidhinisha mabadiliko ya katiba yanayoondoa kikomo kwa umri wa ugombea urais nchini humo. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Julai 27,  katika Mahakama Kuu huko Mbale na Naibu Jaji Mkuu, Alfonse Owiny-Dollo, ambaye alianza kwa kuomba radhi kwa mahakama kuchelewa kuanza katika muda uliopangwa awali. Mahakama ilitakiwa kuyatolea maamuzi masuala makuu...
Read More

No comments:

Post a Comment