Nondo Atiwa Mbaroni Tena

Mwenyekiti wa Mtandao wa wanafunzi (TSNP) na Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuonekana katika maeneo ya chuo hicho. Akizungumza juu ya tukio hilo Mkurugenzi wa Idara ya Habari wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania, Hellen Sisya amesema Nondo alikamatwa jana Julai 26 saa tatu usiku wakati akizungumza...
Read More

No comments:

Post a Comment