Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA Wawekewa Pingamizi

Jamhuri imepinga maombi ya vigogo tisa wa Chadema, akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, ya kutaka kesi inayowakabili iahirishwe hadi rufaa isikilizwe na kutolewa uamuzi kwa madai kwamba maombi hayo hayana msingi kisheria. Hoja hizo za Jamhuri ziliwasilishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri anayesikiliza kesi...
Read More

No comments:

Post a Comment