Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Tanzania inapitia kipindi kigumu cha viongozi wa kiserikali kutoheshimu sheria na katiba.Akizungumza na wandishi Leo Makao Makuu ya Chama hicho, Mbowe amesema kumekuepo na uvunjifu wa sheria kwenye kesi inayomkabili yeye na viongozi wengine wandamizi wa Chama hicho huku wakiwa wananyimwa haki zao za msingi." Tunaheshimu...


No comments:
Post a Comment