Naibu Jaji Mkuu Kenya Akamatwa Kwa Rushwa

Naibu Jaji Mkuu nchini Kenya, Philomena Mwilu, amekamatwa katika mahakama ya juu jijini Nairobi kutokana na tuhuma za rushwa na ufisadi. Jaji Mwilu, amechukuliwa katika Mahakama Kuu na Kurugenzi ya Mashtaka ya Jinai na wapelelezi kutoka kwenye Uongozi wa Upelelezi wa Jinai (DCI) kwa madai ya kuhusishwa na kufilisika kwa Benki ya Imperial. Mwilu amepelekwa katika Makao Makuu ya Idara ya Uchunguzi...
Read More

No comments:

Post a Comment