Tanesco yaamriwa kuilipa mabilioni Benki ya Standard Chartered

Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji (ICSID) imeikataa rufaa ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupinga hukumu ya kuilipa Benki ya Standard Chartered Dola 148.4 milioni za Marekani (Sh336 bilioni). Hata hivyo, si Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk Tito Mwinuka wala msemaji wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Maura Mwingira walioeleza kufahamu kuhusu hukumu...
Read More

No comments:

Post a Comment