Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amesema kitendo cha Asia Msangi kujitokeza kugombea ubunge Ukonga ni ujasiri ambao unatakiwa kuungwa mkono kabla hata hajasema atafanya. Lema ameyasema hayo jana Septemba 2, 2018 kwenye kampeni za Chadema zilizofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Chanika, jijini Dar es Salaam. Alisema wanaume wa Dar es Salaam wamekuwa ni waoga na wanarubuniwa...
No comments:
Post a Comment