MSIBA-DMV NA TANZANIA

Nyamizi Nasibu (Mdogo wake Salma Moshi) amepoteza maisha usiku wa jana Washington Hospital Center.

Marehemu Nyamizi alikua mama mwenye upendo aliyeishi vizuri na watu hapa DMV.

_Tunaomba msaada wa chochote ili kufanikisha safari ya mwisho ya Nyamizi kwenda Tanzania._

Michango itumwe kwenye CashApp ya Jumuiya: ATC METRO: 202-372-6224

Msiba upo
2608 Kirkwood Place, Apt 201, 

No comments:

Post a Comment