Baada ya Spika Job Ndugai kumtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Aniphas Lissu kurejea nchini kwakuwa hana kibali cha kuzurura huko Ulaya, mbunge huyo amemjibu Spika akidai amejuaje kama amepona ilhali hajawahi kumjulia hali kwa simu.Lissu ambaye alipelekwa nchini Ubelgiji kwa ajili ya matibabu zaidi baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 amesema kwamba Spika Ndugai hajui chochote...
No comments:
Post a Comment