Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitafungua kesi mahakamani kupinga sheria ya vyama vya siasa ambayo sasa inasubiri kusainiwa na Rais John Magufuli ili kuanza kutumika. Makamu mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Abdallah Safari amesema chama hicho kilipinga muswada huo lakini kesi yake ya kuupinga haikusajiliwa mahakamani. "Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama...
No comments:
Post a Comment