Mahakama Kuu ya Tanzania imebatilisha sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi Mkuu.Uamuzi huo umetolewa na Jaji Atuganile Ngwala kwenye kesi ya msingi namba 6 ya mwaka 2018 iliyofunguliwa na mtoto wa marehemu Chacha Wangwe ambaye ni Bob Chacha Wangwe.Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Jaji Ngwala amebatilisha vifungu viwili vya Katiba cha 7 (1) ambapo kinaeleza kuwa...
No comments:
Post a Comment