SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!


MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa naye. Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza.
Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa barani humo anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwa na mtu yeyote pia anamshukuru Mungu kwani ameweza kuliteka soko la…

MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!


Ndoa tamu! Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amesema kuwa, wasanii wa kike wamekuwa wakimpa usumbufu kiasi cha kuifanya ndoa yake itetereke kutokana na kuvutiwa naye kimapenzi.
Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ akiwa na Sabby.
Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na kumfanya apoteze imani kwenye ndoa yake.
“Usumbufu upo wala siwezi kuwalaumu sababu mimi japo ni mzee lakini ni…

WASTARA AKANA KUCHUMBIWA


Stori: Hamida Hassan

STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, amepinga vikali taarifa kuwa ametolewa posa na msanii mwenzake, Bond Bin Sinan na kusema kuwa kwa sasa hahitaji kuchumbiwa, wala bwana kwani hajaamua kwenda huko.
Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma.
Akikitendea haki kipaza sauti cha Ijumaa Wikienda, Wastara alisema anaona kuwa aliyeeneza habari hizo anamuwangia kwani hana wazo la kuchumbiwa kwa sasa.
“Sitaki kuolewa wala kuchumbiwa, wala bwana bado sijaamua kwenda…

JIDE AANIKA KISA CHA KUMMWAGA GARDNER


Stori: Gladness Mallya

Funguka! Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash ‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ akipozi.
Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi iliyopita, Jide alifunguka kuwa yeye ndiye aliyeamua kummwaga Gardner.

Katika mahojiano hayo, Jide…

DIAMOND, MAMA’KE, ZARI WALA BATA SAUZ


Stori: Imelda Mtema

GOOD time! Katika hali ya kushangaza, mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama’ke (Sanura Kassim ‘Sandra’) na mama la mama, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamekutana pande za Sauz na kuponda raha, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo.
Mkali wao ndani ya Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akila bata na mtoto mzuri, ‘Zari The Boss Lady’.
Chanzo makini kilicho karibu na Diamond, kimeeleza kuwa msanii…

WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA


Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Makubwa! Wakati Wizara ya Nishati na Madini ikiwa kwenye msukosuko wa fedha zilizochotwa ‘kihuni’ kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, mwanaume mmoja, mtumishi wa wizara hiyo mkoani hapa almaarufu Kigogo wa Escrow, amesababisha wanawake wawili kusutana kwa matarumbeta na kukabana wakidaiwa kumgombea kwani ana fedha ‘chafu’.
Wakina mama, Tabu Mohamed na Mwajuma Chota ( katikati ) wakisutana kwa kuibiana mabwana.
Tukio hilo la aina yake…

HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW


Stori: Mwandishi Wetu

Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Singa singa ambaye ni mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa IPTL, Harbinder Singh Sethi! (wa pili…

Askari wa JKT akutwa mferejini akiwa kalewa chakari


http://www.wavuti.com/2014/12/askari-wa-jkt-akutwa-mferejini-akiwa.html

Lil Wayne’s Daughter Turns 16, Receives A BMW And A Ferrari Read more at http://www.business2community.com/entertainment/lil-waynes-daughter-turns-16-receives-bmw-ferrari-01083157#jQvodmE2B5bsQJvR.99

Lil Waynes Daughter Turns 16, Receives A BMW And A Ferrari image medium 10482342434

http://www.business2community.com/entertainment/lil-waynes-daughter-turns-16-receives-bmw-ferrari-01083157

Rams follow show of support for Ferguson with statement win over Raiders

Nov 30, 2014; St. Louis, MO, USA; St. Louis Rams wide receiver Stedman Bailey (12) and wide receiver Tavon Austin (11) and tight end Jared Cook (89) and wide receiver Chris Givens (13) and wide receiver Kenny Britt (81) put their hands up to show support for Michael Brown before a game against the Oakland Raiders at the Edward Jones Dome. Mandatory Credit: Jeff Curry-USA TODAY Sports© Provided by Fox Sports Nov 30, 2014; St. Louis, MO, USA; St. Louis Rams wide receiver Stedman Bailey (12) and wide receiver Tavon Austin (11) and tight end Jared Cook (89) and wide receiver Chris Givens (13)…
http://www.msn.com/en-us/sports/nfl/rams-follow-show-of-support-for-ferguson-with-statement-win-over-raiders/ar-BBgaSSx

DIAMOND KUFANYA ONESHO KWENYE WHITE PARTY YA ZARI UGANDA

zari diamond4Imethibitika rasmi kwamba Diamond atafanya onesho kwenye white party ya Zari inayotegemewa kufanyika Desemba 18, 2014 jijini Kampala nchini Uganda kwa mujibu wa mtandao wa Boss Lady kwenye ukurasa wake wa facebook ameandika kwa Diamond kuwa mgeni rasmi na hiki ndicho alichoandika Zari kwenye ukurasa wake wa facebook “Proud to announce Diamond Platinumz is our official guest artist at the ‪ Zari All White Ciroc Party. White is always pure, fab & classy,”


Zari alikua na Diamond kwenye tuzo za Channel O zilizofanyika jana nchini Afrika Kusini, Diamond pia aliambatana na mama yake ikiwemo menejiment yake.

MHESHIMIWA PROF. ANNA TIBAIJUKA BORA UJIUZULU KULINDA HESHIMA YAKO NA CHAMA



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka.
Mheshimiwa Bi. Anna Tibaijuka (Mb), Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja wa viongozi wachache sana wenye ujasiri na kiongozi muwazi katika sakata zima la akaunti ya Tageta Escrow, kwani kiongozi huyu amekiri wazi kuwa amepokea fedha shilingi billion 1.6 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering Bw. James Rugimalira.
Si jambo jema kumhukumu Mheshimiwa Anna Tibaijuka, lakini siyo vibaya kumshauri kwa kuwa amekuwa muwazi katika sakata hili, basi lingekuwa jambo la maana sana kama angejiuzulu madaraka aliyonayo katika serikali ili kulinda heshima yake na ya chama tawala.
Msomi yoyote yule…

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA KWELI TUZO ZA CHANNEL O NCHINI AFRIKA KUSINI


Diamond Platnumz akipozi baada ya kutwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini.
Mrembo Zari anayedaiwa kuchukua nafasi ya Wema Sepetu akiwa ameshika tuzo za Diamond.…

VURUGU KARUME: JESHI LA POLISI LATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA MACHINGA DAR


Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam jioni hii limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya machinga wanaolazimisha kufanyia biashara eneo la Karume baada ya kukataa kuondoka eneo hilo kwa ustaarabu na kuzua vurugu. (Picha na Gabriel Ng'osha / Global Whatsapp 0753 715 779)
http://www.globalpublishers.info/

Nebraska fires head coach Bo Pelini

Nebraska fires head coach Bo Pelini (AP)
http://sports.yahoo.com/blogs/ncaaf-dr-saturday/nebraska-fires-head-coach-bo-pelini-161340874.html

As HIV rises, Uganda activist tries to stop AIDS

In this photo taken Sunday, Nov. 9, 2014, a dozen children perform a traditional courtship dance from eastern Uganda as part of a platform for changing attitudes among youth using dance, drama and popular hip hop music, at the Treasure Life Center in the Kamwokya slum of Kampala, Uganda. As World AIDS Day is marked on Dec. 1, Uganda and many other African countries are continuing their battle against HIV and AIDS, and Ugandan street activists like 26-year-old Hood Katende are trying to use music and drama to stem a troubling resurgence of HIV, which now infects more than 500 young women between the ages of 15 and 24 each week, according to the Uganda AIDS Commission. (AP Photo/Rebecca Vassie)

http://news.yahoo.com/hiv-rises-uganda-activist-tries-stop-aids-153132918.html

10 Worst Countries For Women

         YEMENI WOMEN
http://www.huffingtonpost.com/2014/11/29/worst-countries-for-women_n_6241216.html?ncid=txtlnkusaolp00000592

GOP aide’s online dig at Obama teens creates backlash

President Barack Obama, with daughters Sasha, second from right, and Malia, right, reaches out to touch "Cheese" after pardoning the turkey as part of the annual Thanksgiving tradition, Nov. 26, 2014, at the White House in Washington.© Jacquelyn Martin/AP Photo President Barack Obama, with daughters Sasha, second from right, and Malia, right, reaches out to touch "Cheese" after pardoning the turkey as part of the annual Thanksgiving…
http://www.msn.com/en-us/news/politics/gop-aide%e2%80%99s-online-dig-at-obama-teens-creates-backlash/ar-BBg8Q2G

#BREAKING_NEWZ MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUKA JINSI ALIVYOKUTANA NA MH KIKWETE MPAKA KUOANA


Swali: Ni ipi historia fupi ya maisha yako?
Jibu: Mimi naitwa Salma Rashid. Nilizaliwa katika wilaya ya Lindi Mjini, Novemba 30, 1963.
Baba yangu anaitwa Rashid Yussuf Mkwachu na mama yangu ni Mwanapaza binti Shariff.
Kwa asili, baba yangu anatoka Sarai, Rufiji mkoani Pwani na mama yangu anatoka Lindi.
Katika familia yetu, upande wa mama, tulizaliwa watoto saba, wasichana watatu na wavulana
wanne. Mimi ni wa sita, ila kwa baba ni wa pili, nina kaka yangu na mdogo wangu. Nina
wadogo zangu wengine watatu ambao tunachangia baba, kati yao wavulana ni wawili na
msichana mmoja.


Baba yangu alikuwa mfanyakazi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika mwaka 1977 na
kituo chake cha kazi kilikuwa Mtwara, wakati baba anafanya kazi, mama alibaki Lindi, hali
ambayo ilinifanya nipate elimu yangu ya msingi kuanzia mwaka 1973 katika shule nne tofauti;
Nnaida ya Mikindani, Mtwara, Rahaleo ya Lindi, Ligula (Mtwara) na Stadium, Lindi ambapo
nilimalizia elimu yangu ya msingi.


Ingawa wakati ule nafasi za kujiunga na sekondari zilikuwa chache, namshukuru Mwenyezi
Mungu nilikuwa miongoni mwa waliochaguliwa.


Swali: Wewe unatoka Lindi na Mheshimiwa Rais anatoka Pwani, mlikutana wapi na mlifunga
ndoa lini?
 

Jibu: Kila jambo hupangwa na Mwenyezi Mungu. Nilikutana na mume wangu mwaka
1985 nikiwa katika Chuo cha Ualimu Nachingwea, yeye akiwa ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya
Nachingwea.


Tulipokutana kwa mara ya kwanza kitu ambacho aliniambia ni kwambanakupenda na nataka
nikuoe kusema kweli hakusema anataka awe rafiki yangu au vipi, sijui kama huo ndio utaratibu
wa kina baba wote, lakini nasema kutoka moyoni, hicho ndicho alichoniambia na mimi kwa
sababu nilimpenda, nilimkubalia, ingawa uamuzi wangu sikuutoa papo hapo.


Tulifunga ndoa Machi 30, 1989 wakati huo yeye akiwa Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini.
Swali: Baada ya kufunga ndoa ikawaje? Jibu: Baada ya kufunga ndoa nilifanya taratibu za
uhamisho kwa mujibu wa taratibu za kikazi.


Kwa hiyo nilihamia Dar es Salaam ambapo niliungana na mume wangu na tukawa tunakaa
Mikocheni mtaa wa Ursino.


Swali: Katika miaka yenu hii 20 ya ndoa mmejaaliwa kupata watoto wangapi na wako wapi?
Jibu: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumejaaliwa watoto watano kati yao wanne ni wa kiume
na mmoja wa kike. Wote wanasoma, wa kwanza yuko kidato cha sita, wa pili cha nne, wa tatu
cha pili, wa nne yuko darasa la tano na wa mwisho yuko darasa la tatu.
Lakini kwa ujumla tuna watoto wanane, ikiwa ni pamoja na watatu ambao mume wangu alipata
na mke wake wa kwanza.


Hawa wakubwa mmoja ni Mbunge, mwingine ni daktari na mwingine ni mtaalamu wa
Teknohama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano).
Ila siku zote napenda kusema tuna watoto wanane kwa sababu hata hawa wakubwa nimewalea
mimi tangu wakiwa na umri mdogo sana. Kwa hiyo hawa ni watoto wangu sawa sawa na hawa
niliowazaa mimi.


Swali: Una mipango gani ya baadaye?
Jibu: Kwa jumla mipango yetu katika taasisi ya WAMA ni mikubwa sana. Sasa ndio tumeanza,
tuna shule moja tu, lakini tunatarajia kuongeza shule nyingi zaidi katika maeneo tuliyoyakusudia
kwa sababu watoto wanaohitaji msaada wako wengi sana.@Ally J KikweteMiraj JM KikweteRidhiwani KikweteKhalfan Jakaya KikweteRashid KikweteMK Salum KibaRamadhani ChalinzeJaJu Jacob Julius Rombo
Posted by at 10:52 PM 

Ne Mo ft Ommy Dimpoz - Number One


Nightmares of Kenyans Living in Britain Illegally

                                                        
http://www.mwakilishi.com/content/articles/2014/11/29/nightmares-of-kenyans-living-in-britain-illegally.html

Maneno ya wema sepetu na Davido baada ya Diamond kubeba tuzo 3 !!!

Hata kama wewe hupendi muziki , hata kama wewe una matatizo na mwanamuziki Diamond lakini kitendo cha kuchukua tuzo 3 alichokifanya jana kiliwafanya mashabiki wengi wa mziki huu kumpa sapoti Diamond. Tuanze na Davido kutoka Nigeria ambaye kwa usiku wa jana hakuondoka na tuzo hata moja , alisema haya kuhusiana na ushindi wa diamond ” TANZANIA STAND UP! HE DID IT! @diamondplatnumz”

Diamond-Platnumz-Davido
Naye Mwanadada Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond japo bado hawajaweka wazi alimtakia heri ya ushindi kaka yake Diamond kwa kuandika haya , “Gnyt Instagramers… And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz… I must say he did Tanzania proud…:-) :-):-)
Diamond-Platnumz-Zari-Wema-Sepetu-chameleone-slider
The post Maneno ya wema sepetu na Davido baada ya Diamond kubeba tuzo 3 !!! appeared first on Vibe Magazine TZ Tanzania.

DIAMOND ATWAA TUZO 3 ZA CHANNEL O SAUZ


Diamond akiwa na tuzo.
MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku huu nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One!
http://www.globalpublishers.info/

With Jameis Winston at his worst, FSU's defense stands tall against Florida

Nov 29, 2014; Tallahassee, FL, USA; Florida State Seminoles quarterback Jameis Winston (5) comes off of the field after throwing an interception during the first half of the game against the Florida Gators at Doak Campbell Stadium. Mandatory Credit: Melina Vastola-USA TODAY Sports© Melina Vastola-USA TODAY Sports Nov 29, 2014; Tallahassee, FL, USA; Florida State Seminoles quarterback Jameis Winston (5) comes off of the field after throwing an interception during the first half of…
http://www.msn.com/en-us/sports/ncaafb/with-jameis-winston-at-his-worst-fsus-defense-stands-tall-against-florida/ar-BBg9clj

No. 2 Alabama surges past No. 15 Auburn, 55-44

Amari Cooper #9 of the Alabama Crimson Tide catches a 17-yard touchdown pass from Blake Sims #6 in the first quarter against Jonathan Jones #3 of the Auburn Tigers during the Iron Bowl at Bryant-Denny Stadium on November 29, 2014 in Tuscaloosa, Alabama.© Kevin C. Cox/Getty Images Amari Cooper #9 of the Alabama Crimson Tide catches a 17-yard touchdown pass from Blake Sims #6 in the first quarter against Jonathan Jones #3 of the Auburn Tigers during the…
http://www.msn.com/en-us/sports/ncaafb/no-2-alabama-surges-past-no-15-auburn-55-44/ar-BBg98gR

Mkasi na Young Dee


JK Arejea Dar leo akitokea USA kwa ajili ya matibabu ya Saratani







http://issamichuzi.blogspot.com/

‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’


Mwigulu Nchemba 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-Waliochukua-fedha-za-Escrow-wachukuliwe-hatua-/-/1597296/2539118/-/xypis1/-/index.html