CATHY ADAIWA KUTAKA KURUDI BONGO MOVIE


Stori: Hamida Hassan

STAA wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ambaye aliripotiwa kuondoka katika kundi maarufu la Bongo Movie Unity, anadaiwa kutaka kurejea kundini baada ya kuona anakosa madili.
Staa wa filamu za kibongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’.
Chanzo kilicho karibu na msanii huyo kimesema maisha mazuri aliyokuwa akiishi ndani ya kundi hilo, kwa kupata mishemishe za kila mara, ndizo hasa zinazomfanya atake kurejea.
Lakini nyota huyo alipozungumza na gazeti hili, alishangazwa na…

No comments:

Post a Comment