MASTAA wana mambo! Baada ya kukataa kwa muda mrefu kwamba hajawahi kuzaa, msanii wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amemwanika mwanaye anayejulikana kwa jina la Iptysam Othman ‘Angel’ mwenye umri wa miaka 10.
“Mimi ni mama bora, ndiyo maana nimekuwa nikiulizwa na vyombo mbalimbali vya habari kama nina mtoto nilikuwa nakataa kwa sababu sitaki kumkuza mwanangu kupitia…
No comments:
Post a Comment