Uhuru pledges $1million (Sh87 million) for African Court to replace ICC

                                       Uhuru-court

Uhuru receives standing ovation in Ethiopia and show's once again that he's a global leader

       
http://www.kenyan-post.com/2015/01/uhuru-receives-standing-ovation-in.html

With 19th Grand Slam, Serena Williams eyes Graf's record

PAUL CROCK, AFP/Getty Images© PAUL CROCK, AFP/Getty Images PAUL CROCK, AFP/Getty Images      
http://www.msn.com/en-us/sports/tennis/with-19th-grand-slam-serena-williams-eyes-grafs-record/ar-AA8Ov0p

Diamond platnumz - nasema nawee


Nandy - Najiamini


Mupenzi Funeral Fund


ROMY JONES (Diamond Platnumz DJ) Exclusive On The Sporah Show

                               
                               https://www.youtube.com/watch?v=0HN-tHXdO-4

ASIAN MORGANI: NITAMPA SLIM TALAKA!


Stori: IMELDA MTEMA/Risasi

MREMBO ambaye aliwahi kunyakuwa Taji la Unique Model, Asia Morgan ambaye pia ni msanii wa filamu anayechipukia, amefunguka kuwa endapo mwigizaji Slim Omary aliyekuwa mumewe hatampa talaka, atampa yeye.
Msanii wa filamu Bongo anayechipukia, Asia Morgan.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Asia ambaye alitengana na Slim akimtuhumu kuwa na wivu wa kupindukia, alisema licha ya kudai…

DIAMOND AMTUSI X WA ZARI!


Stori: Musa Mateja/Risasi

ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.
X wa Zari, King lawrence akipozi.
Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya kijamii, lakini kitu alichogundua ni kwamba mpenzi huyo wa zamani wa Zari…

Jay-Z to snap up music streamer Aspiro in $56 million deal


http://www.msn.com/en-us/music/news/jay-z-to-snap-up-music-streamer-aspiro-in-dollar56-million-deal/ar-AA8LwlM

WANASWA WAKIFANYA MAPENZI KITUO CHA POLISI



Stori: Issa Mnally na Deogratius Mongela/Ijumaa

AMA kweli binadamu siyo waoga! Watu wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja, waliamua kujitoa fahamu na kuamua kufanya mapenzi ndani ya gari nje ya Kituo cha Polisi cha Alimaua kilichopo Kata ya Kijitonyama jijini Dar, OFM wanakumegea mkanda mzima.
Watu hao wakiendelea kufanya mambo…

AIBU KUBWA! MUUZA GENGE ACHEZEA KICHAPO KWA KUNASWA NA MKE WA MTU


Stori: Dustan shekidele. Morogoro/Risasi

Aibu kubwa! Muuza genge mmoja kwenye Soko la Mji Mpya mjini hapa ambaye jina halikupatikana mara moja, amejikuta akichezea kichapo kwa madai ya kunaswa na mke wa mtu kisha kutembezwa mtupu mtaani.
Muuza genge aliyechezea kichapo baada ya kunaswa na mke wa mtu na kutembezwa mtupu mtaani.
Fumanizi hilo lililojaza umati wa jinsi na rika zote wakiwemo watoto lilijiri katikati ya wiki hii, maeneo ya Mji Mpya ndani ya chumba na…

Rita Jeptoo: Kenyan marathon runner banned for doping

          Rita Jeptoo
http://www.bbc.com/sport/0/athletics/31062211

Billionaire's ex wants $1M a month to raise kids

    
http://www.msn.com/en-us/money/personalfinance/billionaires-ex-wants-dollar1m-a-month-to-raise-kids/ar-AA8Msfp

Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda .......Nuh naye kasema yupo tayari kupigwa mpaka AKOME!!!

            
                     http://www.mpekuzihuru.com/2015/01/shilole-aomba-radhi-kwa-kumdunda-nuh.html

Straight couple arrested for gay sex in Tanzania

                                          
                     http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/straight-couple-arrested-for-gay-sex-in-tanzania

‘Mume kanikimbia kisa nazaa sana’

          
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-Mume-kanikimbia-kisa-nazaa-sana-/-/1597296/2605764/-/15crdkw/-/index.html

Lil Wayne sues mentor's record label for $51M, seeking split

                FILE - In this Nov. 23, 2014 file photo, Lil Wayne performs on stage at the 42nd annual American Music Awards in Los Angeles. The is rapper suing the record label Cash Money in New York for $51 million after claiming that it stiffed him for $8 million on a record he delivered. In the federal lawsuit filed Wednesday, Lil Wayne’s asking to nullify contracts with the company. The New Orleans-born Lil Wayne says his relationship with the label has been deteriorating over the last four years. (Photo by Matt Sayles/Invision/AP, FIle)FILE - In this Nov. 23, 2014 file photo, Lil Wayne performs on stage at the 42nd annual American Music Awards in Los Angeles. The is rapper suing the record label Cash Money in New York for $51 million after claiming that it stiffed him for $8 million on a record he delivered. In the federal lawsuit filed Wednesday, Lil Wayne’s asking to nullify contracts with the company. The New Orleans-born Lil Wayne says his relationship with the label has been deteriorating over the last four years. (Photo by Matt Sayles/Invision/AP, FIle)
https://www.yahoo.com/music/s/lil-wayne-sues-mentors-record-label-51m-seeking-172007112.html

KEKI YA JOKATE KWA MILLARD AYO YAIBUA MAMBO!


‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake.
Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa

Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao.
TUJIUNGE NYUMBANI KWA MILLARD

Ishu hiyo ilijiri Januari 26, mwaka huu ambapo Jokate alidaiwa kuangusha pati nyumbani kwa jamaa huyo maeneo ya Ubungo-Msewe jijini Dar.
Kwenye pati hiyo, Millard ambaye ni mtangazaji mkali wa Vipindi vya…

MADAHA: NAOTA NAFANYA MAPENZI KILA SIKU


Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha.
Na Gladness Mallya/Ijumaa

IMEVUJA! Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.
Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake aliliambia Ijumaa kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.
“Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.
Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha, alipopatikana alisema: “Ni…

JACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!


Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan.
Na Imelda Mtema/Ijumaa

Msanii wa filamu ambaye ni zao la Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan anadaiwa ni mjamzito huku mlengwa wa mzigo huo akidaiwa kuwa Mwarabu aliyewahi kuripotiwa kuwa anatoka naye.
Jack alitua hivi karibuni akitokea Dubai alikokuwa akiponda maisha na mara kadhaa amewahi kutundika picha mtandaoni akiwa kimahaba na mwanaume huyo wa Kiarabu.

Akizungumzia madai hayo, Jack alisema: “Mimi ni mwanamke bwana, kuzaa ni wajibu kwa hiyo sioni kama ni skendo mimi kuwa na mimba.”…

What to Wear? First Ladies Are Steeped in Protocol

Michelle Obama was criticized by some when she visited Saudi Arabia this week without a head scarf, but officials said her attire was in keeping with protocol and custom.© Stephen Crowley/The New York Times Michelle Obama was criticized by some when she visited Saudi Arabia this week without a head scarf, but officials said her attire was in keeping with protocol and custom
http://www.msn.com/en-us/news/politics/what-to-wear-first-ladies-are-steeped-in-protocol/ar-AA8KUz8

MAMBO 14 USIYOYAJUA KUHUSU ROSE MUHANDO


Msanii maarufu wa muziki wa injili, Rose Muhando.
JE, Rose Muhando nini nani hasa? Hilo ni swali ambalo watu wengi wanaweza kujiuliza. Yafuatayo ni mambo kadhaa yanayohusiana na nyota huyo mzaliwa wa Tanzania anayeng’ara katika uimbaji wa nyimbo za Injili kwa lugha ya Kiswahili katika Afrika ya Mashariki.
Mwanamke huyo alizaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro akiwa mfuasi wa dini ya Kiislam. Hata hivyo, akiwa…

Msanii maarufu wa muziki wa injili, Rose Muhando.
JE, Rose Muhando nini nani hasa? Hilo ni swali ambalo watu wengi wanaweza kujiuliza. Yafuatayo ni mambo kadhaa yanayohusiana na nyota huyo mzaliwa wa Tanzania anayeng’ara katika uimbaji wa nyimbo za Injili kwa lugha ya Kiswahili katika Afrika ya Mashariki.
Mwanamke huyo alizaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro akiwa mfuasi wa dini ya Kiislam. Hata hivyo, akiwa na umri wa miaka tisa, akiwa amelala kitandani kwa kulemewa na ugonjwa, alidai kutokewa na Yesu Kristo. Ni baada ya maono hayo ambapo alipona na kuamua kubadili dini kutoka Uislam kwenda Ukristo.
Yafuatayo ni mambo 14 ambayo unahitaji kuyafahamu kuhusu Rose Muhando.
1. Rose Muhando alizaliwa nchini Tanzania, na kukulia mkoani Morogoro.
2. Akiwa msichana, Rose Muhando alihudhuria madrasa ambako alikuwa akipata mafunzo ya dini ya Kiislam baada ya masomo ya kawaida shuleni.
3. Akiwa bado mdogo alikumbwa na ugonjwa wa ajabu ambao ulimlaza kitandani kwa miaka mitatu.
4. Ulikuwa ni wakati akiwa mgonjwa kitandani ambapo Rose Muhando anadai alitokewa na Yesu Kristo ambaye alimponya.
5. Kwa mujibu wa ushuhuda wake, kuna sauti ilimwambia: “Mimi ni Yesu, nimekuponya, hivyo amka unitumikie” na kweli akapona kimiujiza. Baadaye akabadili dini kutoka Uislam na kuwa Mkristo.
6. Ni katika sikukuu moja ya Pasaka ndipo alipobadili dini na kuwa Mkristo.
7. Alianza uimbaji akiwa kiongozi wa kwaya ya Saint Mary ya mjini Dodoma.
8. Alifukuzwa katika kanisa hilo baada ya kukataa matakwa ya kanisa hilo ashiriki katika kurekodi nyimbo na kwaya ya kanisa hilo.
9. Hajaolewa lakini ana watoto watatu wenye umri kati ya miaka tisa na 14.
10. Rose Muhando ameapa hataolewa akisema lengo lake ni kumtumikia Mungu.
11. Mwaka 2009, Rose Muhando alishinda Tuzo ya Mwimbaji Bora Zaidi wa Nyimbo za Injili Tanzania, na alishinda pia Tuzo ya Mwimbaji Bora Zaidi Tanzania na kuzawadiwa Sh. 200, 000 na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kwa kupitia wimbo wake wa ‘Nibebe’
12. Awali, Januari 31, 2005, Rose Muhando alitunukiwa tuzo za Mtunzi Bora Zaidi, Mwimbaji Bora Zaidi na Albam Bora Zaidi ya Mwaka wakati wa Tamasha la Muziki wa Injili Tanzania 2004.
13. Mnamo Februari 2011, Rose Muhando alisaini mkataba wa kurekodi albam na kampuni la Sony Music ambapo hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam Tanzania, tarehe 9 Februari, mkataba ambao ulikuwa wa kwanza wa aina hiyo katika Afrika Mashariki.
14. Mwaka 2008 alipata Tuzo ya Mwimbaji Bora Zaidi wa Nyimbo za Injili Afrika zilizotolewa na Kenya Groove Awards.

New Air Force One Plane Is A Boeing 747-8

Boeing747-8_March2011© Provided by IBT US Boeing747-8_March2011
http://www.msn.com/en-us/money/companies/new-air-force-one-plane-is-a-boeing-747-8/ar-AA8I7gz

IYOBO: MIMBA YA ‘BABY’ NI FARAJA KWANGU


Na Imelda Mtema/Amani

Dansa mahiri wa staa wa muziki Bongo na nje ya nchi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ aitwaye Moses Iyobo, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachompa faraja kubwa kama mimba ya mpenzi wake ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Moses Iyobo akiwa na mpenziwe ambaye ni staa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Iyobo ambaye nyuma kidogo alipost picha katika mtandao wa kijamii wa Instagram na kutoa pongezi kwa mpenzi wake huyo kwa kumbebea ujauzito, alisema kuwa…

WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER


Na Imelda Mtema/Amani

Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa staa wa kike Bongo, Jacqueline Wolper.
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga akiwa na Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani…

POLISI WAMKAMATA WEMA SEPETU AKIDAIWA KUPIGA MUZIKI KWA SAUTI USIKU


Stori: Waandishi Wetu/Amani

KATIKA hali ya kushangaza, polisi walijikuta wakipata shughuli pevu kumkamata staa asiyeishiwa matukio Bongo, Wema Sepetu ambaye alidaiwa kupiga muziki kwa sauti kubwa usiku kucha pasipo kuwa na kibali, Amani linakupa mchapo.
Timu iliyofika nyumbani kwa Wema Sepetu kumkamta kwa usumbufu aliosababisha kwa majirani.
Tukio hilo lilitokea Jumanne iliyopita, nyumbani kwa mwigizaji huyo, Kijitonyama jijini Dar kulikokuwa na bethidei ya rafiki yake aliyejulikana kwa jina…

MGANGA WA DIAMOND JELA MIAKA 7


Stori: Richard Bukos/Amani

Yule mganga aliyejitapa kumtengenezea nyota ya mvuto staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ustadh Yahya amehukumiwa kifungo cha miaka saba (7) jela baada ya kukutwa na hatia katika kisa cha kuchanganya akihusishwa na wizi wa gari.
Ustadh Yahya akiwa chini ya ulinzi.
TUJIUNGE MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA

Habari za uhakika zilieleza kwamba aliyehitimisha kesi hiyo ni Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar, Hassan…