Rais Magufuli atangaza vita na mafisadi, wauza dawa za kulevya 2016

RAIS Dk. John Magufuli, amesema Watanzania wote wanapaswa kuendelea kumuombea ili aendelee na kazi yake ya kupambana na mafisadi wahujumu uchumi na vigogo wauza dawa za kulevya nchini. Kauli hiyo iliitoa katika mkesha mkubwa wa kuliombea Taifa pamoja na kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016, uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema Taifa hili...
Read More

No comments:

Post a Comment