Tanzanian Opposition Leader Arrested for Inflammatory Speech

Bloomberg 22 hours ago 

John Magufuli is bulldozing the opposition and wrecking the economy

The Economist Thu, Oct 19 12:00 AM CDT 

Nyeri Women Vow to Deny Sex to Husbands Until They Vote for President Uhuru


John Wanjohi  Thu, 10/19/2017 - 12:26  609 views21 comments
Nyeri Women Vow to Deny Sex to Husbands Until They Vote for President Uhuru

A section of women from Nyeri County have vowed to deny their sex to their spouses until they make sure they have voted for President Uhuru in the repeat presidential election set for October 26th.
In a meeting held at a hotel in Nyeri town on Wednesday, the women agreed to 'starve' their husbands on the eve of the Thursday's election so that President Uhuru would get the maximum number of votes from the region.
Led by Nyeri Women Representative Rahab Mukami, the women said the move will guarantee a big win for President Uhuru against his rival Raila Odinga of National Super Alliance (NASA).
In the run for August 8th election, former Prime Minister Raila Odinga was on the record asking his married supporters to refrain from sex on the eve of election.
At a rally in Homa Bay County, the Nasa leader called on residents to refrain from sex until he was declared the winner. He said; "August 8 will be a historic day and no vote will be left without being cast. Men will sleep outside. When the day comes, no man should sleep with a woman." The Orange Democratic Movement (ODM) leader had earlier told supporters that, "when you are going for war, sex is a bad omen".
Kirinyaga, Nyandarua and Kiambu Women Representatives Purity Ngirici, Faith Gitau and Gathoni Muchomba respectively, were also present during the declaration by Nyeri women.

Wanawake Wagoma Kufanya Mapenzi Kenya Hadi Uhuru Kenyatta Awe Rais

Jubilee wameiga kaulimbiu ya kampeni ya muungano wa Nasa baada ya kikundi cha wanawake kutoa wito wa kujizuia kufanya ngono hadi pale watakapokamilisha kumsimika Uhuru Kenya kuwa rais. “Hakuna ngono hadi baada ya uchaguzi” ni kauli ya hamasa iliyoanzishwa na mgombea urais kwa tiketi ya Nasa, Raila Odinga kwamba wakati wa vita wanaume huwa hawalali na wake zao. Kauli hiyo ilikuwa maarufu kipindi...
Read More

WEMA SEPETU ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA ASIENDE KUMUONA TUNDU LISSU

Mrembo wa Tanzania na Kada wa Chadema Wema Sepetu ametoa ya Moyoni kwa nini hakwenda kumuona mapema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu baada ya kupigwa risasi septemba 7 ni kwamba asingeweza kumuona akiwa kwenye maumivu.

Wema ameweka wazi maneno hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni baada ya dakika chache tangu kuachiwa kwa picha za kwanza za Mbunge huyo akiwa hospitali ya Nairobi nchini Kenya.

Wema ameandika "Kisichokuua kinakufanya uwe na nguvuz zaidi....Utarudi tena ukiwa na nguvu kuliko ulivyokuwa awali...Shujaa wetu. ... Picha hii imenifanya nipate hisia. Sasa naweza andaa safari ya Nairobi kuja kukuona.. Awali nisingeweza kuvumilia kukuona ukiwa kwenye maumivu".

Nape Ampa Neno Tundu Lissu

Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kusema amefurahi kumuona Tundu Lissu akiwa katika furaha na tabasamu na kumuomba kwa sasa asiseme lolote mpaka pale atakapona kabisaa. Nape Nnauye amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter na kusema tabasamu la Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwa kwenye hospitali jijini Nairobi linatoa matumaini...
Read More

Shilawadu: Zari akana kuachana na Diamond baada ya kusikia kiasi hiki cha pesa

Don't Rely On People - Joel Osteen


Picha 3 za Tundu Lissu Baada ya Kutoka Nje Kwa Mara ya Kwanza

Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu imesema kwamba kwa mara ya kwanza ndugu yao alipotolewa nje kupata hewa na kuota jua kauli yake aliyoitoa alisema kuwa ni sawa na ukiwa mfungwa huoni jua, mawingu wala hupigwi upepo wa kawaida. Katika mahojiano aliyofanyiwa Kaka wa Lissu,  Wakili Alute Mughwai Lissu amesema kwamba mara baada ya ndugu yake kutolewa nje na kukaa kwa takribani...
Read More

Hon. TUNDU LISSU MEDICAL CARE EXPENSES

Mhe. Tundu Lissu akiwa hospitali Nairobi alipokua amepelekwa kwa matibabu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana ambako kwa sasa anaendelea vizuri

Hon. Lissu will be going to a third level of treatment. He still needs us.

"We thank you so much for those who have made their generosity contribution to this cause! But we ask you all to ask one or two of your friend and family members to go tohttps://www.gofundme.com/Lissumedicalcare# and make their donation.

We want you all "Diasporas here in the US, Europe at home in Tanzania and the rest of the world to make a history

$1, $2, $5, $10, $20 $50, $100.00. Anything will move us toward the target  $50K

Kenya's Odinga pulled out of election to avoid defeat: deputy president

 By Katharine Houreld,Reuters 4 hours ago 

Imamu aigomea Tanroads kubomoa mskiti Kimara

Imamu wa Msikiti wa Al Masjid Kirumbi Islamic Center uliopo Kimara amewazuia waumini wake kutoshiriki katika kuvunja au kutoa kitu chochote katika msikiti huo ambao unatakiwa kuvunjwa na Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS. Imamu wa Msikiti huo Ramadhan Juma  amesema hayo jana  wakati akifanyiwa mahojiano na MCL na kudai kutokana na imani yao ni kosa kubwa mtu yoyote kuvunja...
Read More

Diana Rwigara Amtaka Rais Kagame Amwachie Huru yeye na Familia Yake

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, Diane Rwigara amemtaka Rais Paul Kagame kumfutia mashtaka na kuwaachilia ndugu zake ambao wanashikili na jeshi la polisi nchini humo. Rwigara amesema kuwa serikali imefanya jaribio la kuinyamazisha familia yake pamoja na wafuasi wake tangu alipotangaza kuwania nafasi ya uraisi katika uchaguzi uliofanyika mwezi Mei mwaka huu. Aidha, ndugu hao watatu ambao...
Read More

Lissu atoka ICU aona jua kwa mara ya kwanza tangu apigwe risasi .......Mbowe Asema Atasafirishwa Nje ya Nchi

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ametoka ICU na sasa anaweza kukaa. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Mbowe amesema afya ya Lissu inaimarika kwa kuwa alihitaji upasuaji mwingi sana kutokana na risasi zilizoingia kwenye mwili wake. “Amefanyiwa upasuaji mkubwa mara 17 mpaka sasa. Ameongezewa damu nyingi kuliko mtu yeyote...
Read More

Milioni 412 zatumika kumtibu Tundu Lissu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema gharama za matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyelazwa katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya zimefikia Sh412.7 milioni. Lissu ambaye ni mwanasheria wa chama hicho, amelazwa hospitalini hapo tangu Septemba 7 aliposhambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi akiwa maeneo ya nyumbani kwake Area D mjini Dodoma. Mbowe akizungumza na waandishi...
Read More

Nape Afunguka Kuhusu Kuminywa Kwa Demokrasia Nchini

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amesema kuzuiwa mikutano ya kisiasa si kuminya demokrasia kwa kuwa  kuna bunge ambalo linaweza kutumika kutolea maoni yao.  Akihojiwa na kituo cha Televisheni cha  KTN kutoka nchini Kenya katika kipindi cha siasa za kanda kuhusu demokrasia katika Afrika, Nape amesema demokrasia inatakiwa kutafsiriwa kulingana na maeneo tuliyopo. “Afrika hatuwezi...
Read More

WATU 7 WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA AJALI

Watu 7 wamefariki papo hapo na wengine 14 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Noah kugongwa na lori la mizigo wakitoka kwenye sherehe ya harusi wilayani Hanang mkoani Manyara.

Ajali hiyo ambayo imetokea usiku wa Oktoba 14, 2017 imehusisha Noah yenye namba za usajili T 744 DJQ, likiwa limebeba watu wa familia moja, kugongwa na lori aina ya semi trailer lenye namba za usajili T449 CDR mali ya kampuni ya Lake Hill Paradise ya Singida, na kuleta majonzi na simanzi kwa ndugu wa marehemu.

Licha ya watu walioshuhudia, manusura wa ajali hiyo ambaye ndiye bwana harusi aliyetoka kufunga ndoa, amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari hilo Bwana Wilson Simba ambaye pia amefariki, kutokuwa makini barabarani kabla ya kuchepuka upande mwengine.

Kamanda wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Manyara, Bi. Mary Kipesha, amekiri kuwa uzembe uliosababishwa na dereva ndio uliosababisha ajali hiyo na kupoteza watu wakiwemo yeye mwenyewe, na dereva wa lori ambaye amekimbia kushindwa kuchukua hatua za haraka kuidhibiti.

KIMENUKA… RAY C AMUWAKIA NANDY

MWANAMUZIKI Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema hatasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wanamuziki wanaoimba nyimbo zake bila makubaliano

Nyota huyo ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi ameimbia Mwananchi kuwa hawezi kuvumilia vitendo hivyo kwasababu vinalenga kumuharibia biashara yake ya muziki ambayo ndio maisha yake.

Amesema, “Muziki ni biashara huwezi ukalipwa pesa nyingi halafu ukapanda jukwaani ukaimba nyimbo za msanii mwingine bila makubaliano. Huu ni ufinyu wa ubunifu,”

Kauli hiyo ya Ray C imekuja siku moja baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa hakufurahishwa na kitendo cha Nandy kuimba wimbo wake bila ridhaa yake.

Lulu kizimbani keshokutwa kwa mauaji ya Kanumba

By James Magai, Mwananchi jmagai@mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Msanii maarufu wa kike wa fani ya uigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, maarufu kama Lulu, anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya aliyekuwa msanii maarufu wa kiume wa fani hiyo, Steven Kanumba, keshokutwa atapanda kizimbani tena wakati kesi hiyo itakapoanza kuunguruma.

Lulu ambaye yuko nje kwa dhamana anakabiliwa na kesi hiyo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, akidaiwa kumuua Kanumba bila kukusudia, kinyume cha Kifungu cha 195 cha Kanuni za Adhabu (PC), April 7, 2012, nyumbani kwa marehemu Kanumba, Sinza Vatican.

Pope canonises first New World martyrs, calls Amazon synod for 2019

 Reuters Videos 10 hours ago 

 
 
 
 
 
Pope canonises first New World martyrs, calls Amazon synod for 2019