Three vital signs that you must end a relationship

Posted by  

bye
Print Friendly
Relationships start with such optimism, don’t they? And then maybe things go wrong. Should you stick in there, hoping things will improve? Or leave? It can be hard to decide. Either way, you worry that you’re making a mistake, and will be full of regret later.
All that’s quite natural. Because ending any relationship requires a lot of careful thought, even early on. But there are three signs that say you must end a new relationship.
The first’s abuse — especially physical abuse. Is that happening to you? Leave. Right. Now. Even if your partner’s remorseful, and offers to get help. At the very least, you should leave until you’re convinced there’s been real change.
Even if your partner’s only threatening physical abuse, you still need to leave. Or if your partner’s “only” being emotionally abusive. Nothing you can do will improve the situation.
It’s absolutely not your fault, despite what your partner might be telling you. And if you stay you could get very badly hurt — physically or psychologically.
The next don’t-think-twice reason to leave is if your partner has one of the “dramatic, emotional or erratic” personality disorders.
People with these disorders very rarely seek help, and instead blame everyone around them for their behaviour. They’ll idealise you one minute and criticise you the next. They’re impulsive and lack empathy, manipulate and take advantage of you, and disregard your rights.
How do you know you’re with someone who has a personality disorder? You’re constantly walking on eggshells to avoid setting off a conflict.
The whole relationship feels weird. And you’re probably convinced it’s all your fault.
It isn’t. And trying to make the relationship work can be incredibly self-destructive. Just leave.
You also need to leave if your partner’s an alcoholic, or addicted to anything else that’s causing them or you harm, such as drugs or gambling. Especially if they’re denying their addiction or refusing help for it. Addictions can be overcome, but doing that takes a serious amount of work.
And so even if your partner’s willing to tackle their problem, it might not be the right time for you to be in a relationship with them.
There are many other reasons why relationships end, of course, such as infidelity, neglect, and all sorts of flaky behaviour. Mostly couples discuss things like these for quite some time before they finally admit defeat. But abuse, personality disorders and addictions are simply non-negotiable.
It will still be hard to make the decision. You’re perhaps feeling confused. Or afraid of being alone. Or wonder whether things are really that serious. That’s because being the victim of these behaviours makes you indecisive and confused.
So if you have any doubts at all, go and see an experienced counsellor. They’ve seen these situations thousands of times before, and will recognise the signs in minutes. And very quickly you’ll have the answers to your questions — and will know what to do.
-nation.co.ke

Masogange: Siishi kwa makalio yangu

Video Queen wa Kibongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amewabwatukia watu wanaomsonga na maneno kuwa anaishi mjini kwa kuyanadi makalio yake mtandaoni. Akizungumzia  madai  hayo, Masogange amesema kuwa umbo lake amejaliwa na Mungu na halitumii kama vile wengi wanavyodhani kuwa anajinadi kwenye mitandao ili kuwakamata midume.   “Watu wengine sijui wakoje, kila mtu ana mfumo wa...
Read More

Wananchi Wafunga Barabara Baada ya Gari la Polisi Kugonga Wanafunzi wawili

  Wananchi wa eneo la Misugusugu Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hii leo wamefunga barabara baada ya Wanafunzi wawili kugongwa na gari la Jeshi la Polisi na kupelekea kifo cha Mwanafunzi Mmoja Akiongea na Mtandao huu, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jaffary Mohammed amesema baada ya tukio hilo Wanachi walifunga barabara kutokana na hasira ya tukio lakini jeshi la Polisi limetuliza...
Read More

Kichupa cha leo Director Shaibu-Chemsha Ubongo (Official music video HD)

Do You Have Money? Then Buy a Degree in Kenya

   
http://www.mwakilishi.com/content/articles/2015/08/29/do-you-have-money-then-buy-a-degree-in-kenya.html

WOLPER ACHARUKA KISA MIMBA

Imelda Mtema
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper amecharuka vibaya mara baada ya kuulizwa habari za ujauzito.Juzikati mwanahabari wetu alipenyezewa ubuyu kuwa mwigizaji huyo haonekani viwanja kwa kuwa ni mjamzito ndipo mwanahabari wetu alipomvutia waya Wolper ambaye alijibu kwa hasira.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/abeA5L

MKOPO NOMA SANA

Boniphace ngumije
Mkopo noma! Mfanyabiashara maarufu, Mohamed Majid Seif, mkazi wa Mikocheni A, Kinondoni jijini Dar, ametolewa vitu ndani ya nyumba yake namba A35/210 baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Sh. Milioni 210 aliouchukua kwenye Benki ya Boa (Bank Of Africa) mwaka 2011. ....Soma zaidi===>http://goo.gl/XTPP3F

ZARI AITWA KWAO

mwandishi wetu
KIMENUKA! Baada ya madai kwamba mtoto Latifah ‘Tiffah’ si damu ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku shemeji wa zamani wa Zarinah Hassan ‘Zari’ (mama Tiffah), King Lawrence naye kusema mtoto huyo ni wake, kuna taarifa mpya zinazodai kuwa, Zari ameitwa kwao, Uganda ili akamalize ubishi juu ya suala hilo, Risasi Jumamosi limenasa mchapo kamili.....Soma zaidi===>http://goo.gl/n6Rx

MSHINDI WA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi
 Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo

Adha ya Mbweni JKT, Kinondoni

Ukiwa na haraka Mbweni JKT jiandae kupiga mbizi


Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam
UPIGE mbizi. Ndivyo unavyoweza kusema msemo huu kama unahitaji kupita haraka haraka katika eneo la Mbweni JKT, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, mahala panapojengwa daraja la kuvukia watu kwa miaka mitatu sasa, halina dalili za kukamilika hivi karibuni. Ni eneo tata. Ni eneo linalokera na kusumbua watu mno. Mbaya zaidi, ni eneo lililozunguukwa na majumba ya watu wenye ukwasi au ukubwa wa majina ya viongozi waliojenga katika eneo hilo. Eneo linalojengwa daraja hilo ni kwenye mkondo wa maji unaotokea baharini.
Gari likivuka eneo la mkondo wa bahari, ambapo pia ndipo panapojengwa daraja hilo hatua chache mkono wa kulia kutoka gari linapopita. Maji yakijaa hapo hakuna kupita wala kuvuka.

Kwa wanaofahamu tabia za mikondo hii ya baharini watakuwa wanaelewa. Na wasiofahamu ni kwamba, linakuwa na tabia za kujaa maji na kupungua kila wakati. Kwa mfano, mtu anaweza kupita saa tatu asubuhi akakuka hakuna maji mengi. Lakini dakika kadhaa mbele, maji mengi yanajaa kutokea baharini. Ukifanya mkosi, ukiwa na haraka ya kuendelea na shughuli zako, ndipo hapo unapopaswa upige mbizi.
Hapa ndipo panapojengwa daraja hili.

Uyavulie nguo, upite. Na ikiwa na una gari, huna budi kusubiri kwanza yapunguwe kama si kuisha kabisa maji hayo. Au utafute njia nyingine za kukufikisha eneo unaloelekea, ingawa njia hiyo ina usumbufu mkubwa wa muda na gharama nyingine pia. Ni kutokana na hilo, serikali kwa kupitia Halmashauri ya Wilaya Kinondoni, inapaswa kupigia jicho kuu eneo 

HABARI KAMILI YA WATU 9 WALIOTEKETEA KWA MOTO BUGURUNI

WATU tisa wa familia moja wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali.

Nyumba hiyo iliyoteketea iko Mtaa wa Gulam katika eneo la Buguruni Malapa na baba wa familia hiyo, Masoud Matal hali yake ni mbaya. Marehemu hao walizikwa jana katika makaburi ya Kisutu.

Wakizungumza na mwandishi, majirani walisema marehemu hao walikutwa wamekumbatiana baada ya kupiga kelele kwa muda mrefu wakiomba msaada bila mafanikio kutokana na waokoaji kushindwa kupenya nyumba hiyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Lucas Mkondya, alithibitisha watoto watano na watu wazima wanne wamekufa katika kadhia hiyo. Kamanda huyo amesema kwamba chanzo cha moto ni hitilafu ya umeme, lakini alisema uchunguzi unaendelea kufahamu sababu ya moto huo.

Mashuhuda wazungumza

ORODHA YA MAJINA YA WALIOMBA KUJINGA NA JESHI LA POLISI YATOKA



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi(JAMIIMOJABLOG)


JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAJULISHA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA TAREHE 28/08/2015 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USAFIRI WA KWENDA SHULE YA POLISI TANZANIA
TAREHE 29/08/2015.

KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA CHUONI BAADA YA KUWASILISHA TIKETI YA SAFARI. AIDHA TAREHE YA MWISHO YA KURIPOTI CHUONI NI TAREHE 05/09/2015 NA ATAKAYERIPOTI BAADA YA HAPO HATAPOKELEWA.

AIDHA VIJANA HAO WATALAZIMIKA KUFIKA SHULENI WAKIWA NA VITU VIFUATAVYO :
1.VYETI VYAO VYOTE VYA MASOMO (ORIGINAL ACADEMIC CERTIFICATES/RESULT SLIP PAMOJA NA LEAVING CERTIFICATES) KIDATO CHA NNE, SITA NA VYUO.
2.VYETI HALISI VYA KUZALIWA (ORIGINAL BIRTH CERTIFICATES). HATI YA KIAPO CHA KUZALIWA HAITAKUBALIKA.
3. MASHUKA MAWILI RANGI YA BLUU BAHARI (LIGHT BLUE)
4.CHANDARUA CHENYE UPANA FUTI TATU
5.NGUO ZA MICHEZO (TRACK SUIT NYEUSI,T-SHIRT BLUE NA RABA)
6.PASI YA MKAA.

NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA

Richard Bukos
Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc

NAVY KENZO WAZIDI KUCHANA ANGA

Kundi linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo.
Boniphace Ngumije

KUNDI linalofanya kweli kwenye gemu la muziki, Afrika Mashariki la Navy Kenzo, linaloundwa na wasanii ‘couple’, Aika na Nahreal limezidi kuchana anga baada ya wimbo wao unaoitwa Game kuzidi kufanya vyema kwenye media mbalimbali duniani.
Akichezesha taya na Showbiz, Aika alidai kuwa mafanikio wanayoendelea kuyapata kutokana na wimbo huo waliomshirikisha Vanessa Mdee na video yake kufanywa na produza maarufu…

MH. TEMBA, JOKATE KUTOKA NA FUNDI

Mwanamuziki anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’.
Boniphace Ngumije

MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye game la muziki wa Kibongo, Aman Temba ‘Mh. Temba’ siku si nyingi anategemea kuibuka na ngoma inayoitwa Fundi, aliyoifanyia katika Studio ya Mj Records chini ya produza Marco Chali na kumshirikisha mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate.
 Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate.
Mh. Temba aliitonya Showbiz kuwa,…

BALOZI WA PAPA MTAKATIFU NCHINI FRANCHESCO PADILIA AMEMVALISHA MKANDA WA PALIOTAKATIFU ASKOFU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA BEATUS KINYAIYA

 Balozi wa Papa Mtakatifu wa kanisa katoliki Nchini Franchesco Padilia akitosi pamoja na Askofu Mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Dodoma Mathias Isuja walipokua kwenye Tafrija Fupi ya kumpongeza Askofu mteule wa jimbo hilo aliyekuwa akivishwa mkanda  wa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Pallium. baada ya kumkabidhi kusimamaia majimbo ya Dodoma, Kondoa na Singida
  Balozi anayemwakilisha Papa Fransico nchini, Askofu Beatus Kinyaiya na Fadha Chesco Msaga Mwenye Suti wakiingia kwenye ukumbi wa kanisa katoliki jimbo la Dodoma kwa ajili ya kumpongeza Askofu mwenyeji baada ya kuvalisha mkanda wa uliotengenezwa kwa ngozi ya kondoo ujulikanao kama Paliotakatifu [Pallium] ambao ni maalumu kwa maaskofu wakuu pekee.

MKOMBOZI BANK YAZINDUA TAWI JIPYA MOSHI MKOANI KILIMANJARO.


Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.
Askofu wa jimbo Katoliki la Moshi ,Mhashamu Baba Askofu Isaac Amani akimwaga maji ya baraka katika jingo la Benki ya Mkombozi tawi la Moshi.

SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA MOSI

ICHUPA CHA LEO SNURA - NAJIDABUA (official music video)

UK Immigration Bill: Illegal workers ‘may face six months’ jail’

BORDERAGENCYUK
Print Friendly
People who work illegally in England and Wales will face up to six months in prison, under proposals to be included in the forthcoming Immigration Bill.
The bill, to be introduced in the autumn, will also contain measures against takeaway restaurants and off-licences which employ illegal migrants.
Penalties will also include an unlimited fine and wages being seized.
Immigration Minister James Brokenshire said the government “would continue to crack down on abuse” of the system.
The government has made a series of immigration announcements over the summer of which this is the latest.
Takeaways and off-licences could lose their licences if they were found to be employing illegal workers.
Officials are also considering whether this provision should be extended to cover minicab drivers and operators.
The legal defence for other kinds of business discovered using illegal workers will also change.
They will no longer be able to claim they did not know a particular employee was not allowed to work – they will have to show that they carried out proper checks before taking them on.
The maximum sentence for employers found guilty will be raised from two to five years, in addition to the fines already in force.
Mr Brokenshire said: “Anyone who thinks the UK is a soft touch should be in no doubt – if you are here illegally, we will take action to stop you from working, renting a flat, opening a bank account or driving a car.
“As a one nation government we will continue to crack down on abuse and build an immigration system that works in the best interests of the British people and those who play by the rules.”
Alp Mehmet, of Migration Watch UK, which supports tighter immigration controls, said: “This is not just about not being seen as a soft touch.
“More important is for the message to go out that if you are here illegally and caught working, you and your employer will end up in court.
“Let us hope that the authorities will not shy away from acting on the powers they are to be given, since their record on that front has not always been exemplary.”
Earlier this month, the government also announced that landlords in England will be expected to evict tenants who lose the right to live in the UK, also under the proposed Immigration Bill.
Landlords will be able to end tenancies, sometimes without a court order, when asylum requests fail, and will be required to check a migrant’s status in advance of agreeing a lease. Repeat offenders could face up to five years in prison.
And Mr Brokenshire has previously said businesses that employ illegal workers will be hit with “the full force of government machinery”.
Immigration officers are reported to be preparing to mount a wave of raids this autumn targeting building sites, care homes and cleaning contractors.
-BBC.CO.UK

Kenya to go ahead with nuclear power plan

Posted by  

Nuclear_Power_Station
Print Friendly
Kenya will continue with its push towards harnessing nuclear energy as an alternative to geothermal and hydropower to ensure future security and growth, the Ministry of Energy has said.
Energy Principal Secretary Joseph Njoroge on Monday reaffirmed the country would set up a series of nuclear power plants, each with a capacity to generate 1,000 MW from 2023 to meet Kenya’s needs beyond 2030 when it looks to industrialise.
“If we compare the population and size of Kenya with developed nations, our country needs between 45,000 MW and 50,000 MW,” Mr Njoroge told the press in Nairobi.
He said the geothermal energy potential to be exploited in future cannot go above 20,000 megawatts (MW), thus the need for alternative sources such as nuclear.
“We have no option but to embrace nuclear early enough to avoid starting the process long after we have exhausted geothermal sources,” he added.
Mr Njoroge said that Kenya had nearly exploited hydro power sources which are often prone to weather changes, adding that while solar and wind sources while clean and easy to tap, are unreliable.
Kenya’s installed capacity stands at 2,298 MW, out of which 593 MW is geothermal with 280 MW having been injected to the grid last year from the Olkaria steam belt in Naivasha.
Studies show that the area has a potential of 10,000 MW without including Nakuru’s Menengai basin where geothermal works are ongoing.
Hydropower’s capacity is 827 MW while thermal plants, whose electricity cost is double geothermal’s and six times hydro electric’s, is 692 MW — often on standby and only switched on during peak demand.
Mr Njoroge was speaking on the sidelines of a stakeholder’s forum involving 11 visiting international atomic energy experts who will in the next one week review Kenya’s preparedness to tap nuclear electricity.
The team, led by International Atomic Energy Agency (IAEA) officials, will then prepare an assessment report to serve as a guideline for Kenya before the country opens the bidding window for the construction of the region’s first nuke plant.
Energy diversification
The country has already conducted pre-feasibility studies on its suitability for nuclear plants and is in process of identifying sites.
IAEA said that Kenya’s diversification of its energy mix was critical in supporting industrial growth.
“Nuclear power is a reliable base load option,” said Anne Starz of IAEA while downplaying security concerns over atomic technology.
South Africa, the only country on the continent to have nuke plants, has sought the agency’s nod to set up more plants.
Other African nations that are seeking the technology include Nigeria, Morocco and Egypt.
Kenyan students on government scholarships are currently undertaking nuclear studies in South Korea and the US to strengthen the country’s capacity.
The Kenya Nuclear Electricity Board (Kneb) executive chairman Ochilo Ayacko said the country will import nuclear fuels to be used for electricity generation as opposed to using locally sourced radioactive minerals.
“The contractor of the plant will be in charge of supplying nuclear fuels — it is cheaper that way than to set up a plant locally to process uranium ore,” said Mr Ayacko.
Kenya is endowed with uranium, radium and argon reserves in Murima Hills in Kwale and Pokot, according to Ministry of Energy.
IAEA usually reviews the three phases of atomic energy development process namely: the country’s decision making (the stage where Kenya is), capacity development for bidding and contract awarding and finally the construction phase.
Kenya has a 15-year strategic plan, the average time it takes to implement atomic energy technology, which includes the safe decommissioning of plants whose lifespan is over.
The IAEA experts will review and advise Kenya on nuclear safety, human resource development, radioactive waste management, procurement and financing. Others are legislation, regulatory framework and infrastructure development.
-businessdailyafrica.com

Hali ni Mbaya: 7 Wafariki kwa Kipindupindu Dar, 230 Wamelazwa


Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini imesema watu 7 wamekufa kwa ugonjwa wa kipindupindu huku wagonjwa 230 wakilazwa katika kambi mbali mbali maalum katika mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid amesema kuwa kati ya wagonjwa hao 194 ni kutoka Dar es Salaam na 36 ni kutoka Mkoa wa...
Read More

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10

Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.
Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. 

Diamond Platnumz Interview kuhusu DNA ya mtoto, msg za Wema na mengene

Google Eyes Kenyan Market with Low-Cost Smartphone

Google Eyes Kenyan Market with Low-Cost Smartphone
http://www.mwakilishi.com/content/articles/2015/08/23/google-eyes-kenyan-market-with-low-cost-smartphone.html

HATA WAKIACHA MUZIKI ‘HAWAFI NJAA’

Dada Mkuu’ wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jay Dee'.
Lucy Mgina

KATIKA maisha siku zote tunashauriana kwamba tusitegemee chanzo kimoja cha fedha. Kama wewe ni muajiriwa basi unatakiwa kuwa na vyanzo vingine vya kujiingizia kipato ili usipate tabu pindi ajira yako inapokoma. Kwa Tanzania asilimia kubwa ya wasanii na hata watu wa kawaida wamekuwa wakijisahau kuhusiana na ishu hii.
Staa wa Bongo fleva  Nasibu Abdul 'Diamond Platinumz'.
Wengi wao wakiona wametoka na…

Kichupa cha leo Galatone | Sina Mali | Official Music Video


40 MTOTO WA ZARI

Imelda Mtema
MTOTO wa staa naye ni staa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kuwepo kwa mipango kabambe ya kufanikisha sherehe ya kumtoa mtoto (arobaini) wa mjasiriamali maarufu Zarinah Hassani ‘Zari The Boss Lady’, Tiffah, Risasi Jumamosi limenasa mchapo kamili. ...Soma zaidi====>http://goo.gl/symAbe

LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA

Imelda Mtema
STAA mdogo kwenye kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameonekana kumrushia vijembe hasimu wake mkubwa mlimbwende Husna Maulid kwa kile alichodai kuwa anamuibia maelezo yake ya picha (caption) kwenye mtandao wake wa Instagram.  ....Soma zaidi====>http://goo.gl/LHQBq0

SHEREHE YA WATOTO, MIJIMAMA YATIA AIBU!

Richard bukos
Ama kweli dunia imekwisha! Hayo yalidhihirishwa Jumamosi iliyopita baada ya kundi la mijimama kuwamwagia radhi watoto walio chini ya umri wa miaka saba ambao walikuwa wakitolewa jandoni katika kigodoro kilichofanyika Kigogo Luhanga jijini Dar.  ....Soma zaidi====>http://goo.gl/kU5BZY

Kichupa cha leo Lover lover... king chiwah ft hasna(officialvideo)

UAE closes Nairobi embassy amid falling trade

UAE
http://www.jambonewspot.com/uae-closes-nairobi-embassy-amid-falling-trade/

NDOA ZA WAZEE ZATIKISA MOROGORO

Dustan Shekidele, Morogoro 
SHANGWE! Katika tukio linalotokea kwa nadra, wazee kumi ambao wameishi kinyumba kwa miaka mingi,Jumamosi iliyopita walibariki ndoa zao katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Monica, lililopo Tungi mkoani Morogoro, huku zoezi hilo likitikisa kila kona ya mjini hapa. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1U2ZWZC