Kesi Ya Msofe na Wenzake

KESI YA MSOFE NA MWENZAKE YAAHIRISHWA

Posted by GLOBAL on September 30, 2014 at 5:58pm 

KESI ya mauaji inayomkabili mfanyabiashara Marijan Abubakar ‘Papa Msofe’ na mwenzake, Makongoro Joseph, imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kuahirishwa hadi Oktoba 13 mwaka huu kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Msofe na Makongoro wanakabiliwa na kesi ya mauaji ya Onesphory Kitoli. Kesi hiyo imetajwa chini ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa
Papa Msofe (katikati) akishuka ngazi za Mahakama ya Kisutu baada ya kesi kuahirishwa.…

No comments:

Post a Comment