First Lady Margret Kenyatta Proves That Age Is Just But A Number As She Shows Off Her Dancing Skills

First Lady Margret Kenyatta felt like a breathe of fresh air when she assumed the prestigious seat.
She has time and time again proved that she wasn’t just a president’s wife who sits and looks pretty beside her husband but she has moved out of the comforts that come with the throne.
The First Lady has now come out to show off her dancing skills which are definitely on point.
Here are photos of the First Lady as she gets down.

LOWASSA ALITIKISA JIJI LA ARUSHA LEO

Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia). Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo. Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya leo.Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha, kumsikiliza Mh. Edward Lowassa akitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

PICHA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

DC MAKONDA AFUNGUKA KUTEMBEA NA KAJALA


Mwandishi wetu

BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ‘kutembea’ na mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja, mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa hazina ukweli wowote zaidi ya kutaka kumchafua katika uongozi wake.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.
Mapema wiki hii, mitandao mbalimbali ya kijamii ilimtuhumu mheshimiwa huyo kwamba ana uhusiano na muigizaji huyo kwa kudai amekuwa akionekana naye mara kwa mara.Makonda ambaye ameonesha uchapakazi uliotukuka baada ya…

WEMA, IDRIS NUSU WAZICHAPE


Musa mateja

MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014/15, Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa.
Malkia anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production, Wema Isaac Sepetu.
Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nje ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar ambapo kwa pamoja walikuwa…

KAJALA EXCLUSIVE ON THE SPORAH SHOW


New Official Video Diamond Platnumz Ft Mr Flavour - Nana

Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu kulikabili,” alisema mkuu huyo wa wilaya. “Imefikia wakati wanaume wengi wanashindwa kumudu kufanya tendo la ndoa na kuwalazimu kukodi wanaume kutoka nchi jirani ya Kenya kwaajili ya tendo hilo.”
Akiuliza swali kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, mbunge wa Rombo, Joseph Selasini (CHADEMA), amesema habari hiyo imesababisha madhara makubwa katika jimbo lake.
Selesani amesema habari hiyo imewadhalilisha wanaume wa Rombo na wanaiomba serikali iwaombe radhi kwa kilichoandikwa.
Amesema kutokana na habari hiyo wanaume wengi wameanza kuwatilia mashaka wake zao kuwa huenda ‘wamekuwa wakichepuka’ na wakenya na hivyo kusababisha maelewano hafifu ndani ya ndoa.
Akijibu swali hilo, mheshimiwa Pinda alisema binafsi hajaisikia taarifa hiyo kwahiyo hatoweza kuomba radhi hadi pale atakapolifuatilia.

Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?


Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..

Avril's Rival Is Pregnant. And She Talks About Abortion

Her rivalry with Avril begun when she took shots at the 'Kitu Kimoja' singer after her latest release with Ommy Dimpoz
Laika whom you know from 'Laika's song ' is now pregnant and this is how she made her announcement:

What can I say,to my dear baby,I wanted to travel the world and build an empire...Never in a million years did I imagine I would meet you this young in my life!But now that you are here,I cant wait to do all these things with you!Its me and you against the world and honestly,my life was getting kinda lonely.I cant wait to meet you!Keep kicking like you do...It gives me so much hope.
Thanks to my friends and especially family for the overwhelming support.I love y'all so much.Say hello to the new mom to be
But that was not all,she had a message for the haters:


Niggas be hating!!!HAHAHA..
And especially those who stood absolutely no chance with me.Simba akikosa nyama hali nyasi babu...Na ata nikiwa na haraka vipi siombi lift kwa gari la takataka.I am absolutely proud of my bump and y'all who sit around studios talking about 'madem wa industry' and include my name in there..go brush your teeth.We know most of you are so broke anyway,i wonder how you can get time to talk abt someone you dont feed.
And she also had this advice to offer the ladies:
My dear ladies,if you get pregnant,let abortion or keeping be a decision you make on your own.Dont let no man tell you what to do with your body.Dont die aborting for fear of what people will say.Heaven utaenda peke yako!
Ps: I never share my story because its more beautiful or ugly than others.I share so that someone else going through the same may feel encouraged.You are not alone!
Its so sad that we live in a society that judges people just coz their mistakes are visible,forgetting their skeletons in the closets.
#ProudMumtobe #Fabmom #bumpchic #Babybump #6month

Height Of Endorsement As Eric Omondi Gets An Mpesa Tattoo On His

We all know that Eric Omondi has been hitting the gym to get his dream body, but did you know he is also into tattoos? Well if you didn’t then now you know.
The comedian just posted a photo of his dream body tatted up with some crazy tattoos including an Mpesa one. No kidding, the actors photo shopped chest will make many ladies thirst over it but with the Mpesa ink it’s quiet hard to tell.
Anyway, corporates seem to be going that extra mile just to capture your attention,huh. Well checkout the photo below:

5 airplanes in New York area hit by laser lights, FAA says

FILE - planes taxi on runways at John F. Kennedy International Airport in New York. Mark Lennihan/AP© Mark Lennihan/AP FILE - planes taxi on runways at John F. Kennedy International Airport in New York. Mark Lennihan/AP
http://www.msn.com/en-us/news/us/5-airplanes-in-new-york-area-hit-by-laser-lights-faa-says/ar-BBkoIRe

Fashion Documentary Exposes Environmental and Human Costs of Those $8 Jeans

                
http://www.msn.com/en-us/money/markets/fashion-documentary-exposes-environmental-and-human-costs-of-those-dollar8-jeans/ar-BBko9UA

Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Buhari ameapishwa kuwa rais wa Nigeria

Mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Nigeria Muhamadu Buhari ameapishwa kama rais mpya wa nchi hiyo.

SERIKALI YAPANIA KUMCHUKULIA HATUA SHILOLE

Serikali imeahidi kumchukulia Shilole kufuatia kusambaa kwa picha zake chafu zilizopigwa wakati akitumbuiza nchini Ubelgiji.
Akizungumza bungeni Dodoma jana, Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia, wakati akijibu hoja za wabunge baada ya kusoma makadirio na matumizi wa wizara hiyo, alisema tayari serikali imeliagiza baraza la sanaa taifa BASATA kufanya naye mahojiano.

Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Mkamia

“Tumemtaka ajieleze kupitia BASATA, akishajieleza serikali itachukua hatua na niombe mheshimiwa spika kupitia bunge lako tufuku, kuliomba radhi kwa upande wa serikali kwa kitendo kilichofanywa na mwanamuziki yule. Sio maadili yetu na nimesema akishajieleza serikali itachukua hatua yake,” alisema Juma Mkam

Video:Huwezi kuamini kama huu ni msiba, mke wa marehemu akavalishwa na shela kabisa

Sio tukio la kawaida kukutana na mtu kavaa gauni la harusi kwenye mazishi.. kwenye headlines za 254 jirani zetu wa nguvu Kenya kuna hii stori kutoka Kaunti ya Vihiga, unaambiwa mwanamke aliyefiwa na mume wake akalazimishwa kuvaa gauni ambalo anavaa bibi harusi wakati wa kufunga ndoa, alafu safari ya kwenda kwenye mazishi ikaanza.Mary Akatsa ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem Church of Christ alikuwa akiongoza kila kitu mpaka mazishi yalipoisha, ukicheki kwenye hii video huyo mama anaonekana mkali hivi kama unaenda tofauti na maagizo yake.. wengine wanapigwa mpaka vibao.Mazishi yalikuwa kama sherehe tu, kama ukiiona hii video unaweza kuhisi labda watu walikuwa kwenye harusi au sherehe nyingine ya kawaida.


MIMBA YA ZARI YAMPA MAMILIONI DIAMOND


Musa Mateja

Imebainika kuwa mimba ya mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ inamwingizia jamaa huyo mamilioni ya fedha, Ijumaa limebaini mchezo mzima.

KUMBE!
Mwandani wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.
Imeelezwa kwamba, katika kila shoo anayokwenda na mama kijacho huyo amekuwa akilamba dau kubwa kwani wengi wanahudhuria burudani inayotolewa na Diamond ili kumuona Zari akiwa na kibendi.Uchunguzi wetu ulibaini kwamba, ujauzito wa Zari kwa sasa…

Malori ya TZ yasababisha ajali 227 nchini Zambia

   
Ripoti hiyo ilitaja sababu kubwa ya ajali hizo kuwa ni mwendo kasi, vizuizi barabarani, uchovu wa safari ambao umekuwa ukisababisha baadhi ya madereva kuegesha malori yao vibaya na kusababisha madhara kwa watumiaji wengine wa barabara.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Malori-ya-TZ-yasababisha-ajali-227-nchini-Zambia/-/1597296/2733266/-/htqsr6z/-/index.html

8,000 Chinese students were expelled from US universities last year, mostly for cheating and bad grades

K-Lynn azungumzia maisha yake kama mama, kwanini hawezi kurudi kwenye muziki na kazi ya interior design


Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn lakini kupitia tuzo za watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu.

K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama watoto wawili mapacha yamekuwa ya aina yake na anayafurahia kila sekunde.

MAINDA: NIMETUMIKA SANA KWA NGONO, POMBE!


Brighton Masalu

STAA mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ametoa ushuhuda mzito (confession) baada ya kukiri kuishi maisha ya starehe ikiwemo unywaji pombe na kukosea mwanaume sahihi wa maisha kwa kuingia kwenye uhusiano tofauti jambo aliloliita ni ‘kumtumikia shetani kwa pombe na ngono’.
Staa mkongwe wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’.
Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi wetu hivi karibuni katika mahojiano maalum, Mainda ambaye kwa sasa ni mlokole wa ‘tuimbe na kusifu’ aliweka wazi kuwa kipindi…

KHADJA: NILIYEZAA NAYE, SITAKI HATA KUMSIKIA


LEO kupitia safu hii tunaye staa wa muziki wa kizazi kipya, Khadija Maige ‘Khadja’. Naye kama kawaida alibanwa na Mwandishi Wetu Shani Ramadhani kwa maswali 10 na bila hiyana alitoa ushirikiano katika kuyajibu.

Unajua aliulizwa nini na akajibu vipi? Ungana nami hapa chini.
Staa wa muziki wa kizazi kipya, Khadija Maige ‘Khadja’.
Ijumaa: Changamoto zipi unazozipata kupitia kazi yako ya muziki?

Khadja: Napata changamoto nyingi tu ikiwemo kutongozwa sana na wanaume. Pia baadhi wananikatisha tamaa wakidai eti siwezi kufika mbali wakati najua…

NIKIACHIKA, NDOA TENA BASI- DAVINA


Na Hamida Hassan

Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema kuwa kama itatokea ndoa yake ikawa ndiyo imevunjika kabisa hatarajii kuolewa tena, itakuwa ndiyo imetosha.
Staa wa filamu za Bongo, Halima Yahya ‘Davina’.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Davina alisema anamshukuru Mungu kwa kubahatika kuonja tamu na chungu ya ndoa na sasa kama itatokea mumewe akaona waachane kabisa, hatakuwa na sababu ya kuhangaikia kuolewa tena.
“Yaani kama ndoa yangu itavunjika kwa kweli sihitaji ndoa ya aina yoyote tena katika maisha…

SABABU 10 ZA MASTAA WA KIKE KUTODUMU KWENYE NDOA!


Na Hamida Hassan

Mastaa wengi wamekuwa hawadumu kwenye ndoa zao na wengine kwenye uhusiano wao wa kimapenzi. Ukijaribu kumuuliza kijana yeyote mwenye nia ya kuoa atakuambia bora aoe mwanamke wa kawaida kuliko staa.
Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Yobnesh Yusuph 'Batuli'.
Si suala la kuoa tu, hata kwenye mapenzi ya kawaida ni wachache wanaoanzisha uhusiano na mastaa wakiwa na ndoto za kudumu kwa muda mrefu. Ukiona kijana ‘anamsalandia’ staa ujue ni ili amuonje tu kisha amtose.
Pia…