Mbunge Lijuakali Atiwa Mbaroni

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na viongozi watatu wa Chadema wilayani Malinyi wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya kusanyiko lisilo halali. Mbunge huyo amekamatwa  jana Alhamisi saa 12:40 jioni akitoka kwenye kikao cha ndani cha chama hicho kilichofanyika katika Kijiji cha Makerere wilayani Malinyi. Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao, Mwenyekiti wa Chadema Kanda...
Read More

Rights Groups: Freedom of the Press Under Fire in Tanzania

VOA News Wed, Sep 27 12:00 AM CDT 

Mwigulu: Aliyemtisha Nape Kwa Bastola Sio Askari Polisi, Uchunguzi Sakata la Beni Saa Nane Bado Unaendelea

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amesema aliyemtishia bastola aliyekuwa Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, hakuwa askari. Amesema kijana hiyo alikuwa ni mhalifu aliyetumia nafasi ya mkutano wa Nape na waandishi habari kutaka kutekeleza tukio hilo ambapo aliishia kumtishia bastola. “Awali tulidhani yule kijana ni polisi lakini hakuwa na sare za polisi, cha kwanza nilimuelekea...

Mchungaji Msigwa afikishwa mahakamani kwa Matusi na Kutishia Kuua

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya kumtusi na kutishia kumuua aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kitwiru, Baraka Kimata. Mbali na Msigwa pia Diwani wa Viti Maalum, Selestina Johanes na dereva wa mbunge huyo, Godi Mwaluka wamepandishwa kizimbani kwa kosa hilo. Akisoma shtaka hilo Hakimu wa Mahakama...
Read More

Mbowe Kanyang'anywa Gari

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimesikitishwa na hatua ya uongozi wa Bunge la Tanzania ya kulichukua gari la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe alilokuwa akilitumika kwa shughuli za matibabu ya Tundu Lissu jijini Nairobi .Chadema imesema Mbowe ambaye ni Mbunge wa Hai, aliamuru gari hilo lipelekwe Nairobi kwa ajili ya kusaidia matibabu ya Lissu ambaye...
Read More

US Department of HomelandSecurity to Collect SocialMedia information fromImmigrants Starting Oct 18th

Irungu Thairu  
 
 1792 views3 comments
US Department of Homeland Security to Collect Social Media information from Immigrants Starting Oct 18th

The US Department of Homeland Security (DHS) plans to start collecting social media information on all immigrants in the US, including permanent residents and naturalized citizens starting October 18th.
In a document published on the Federal Register last week, DHS plans to collect “social media handles, aliases, associated identifiable information, and search results”. The information will be permanently stored on individuals’ immigration files beginning October 18th.
DHS also plans to collect information on immigrants “from the internet, public records, public institutions, interviews, commercial data providers, and information shared obtained through information sharing agreements.”
DHS earlier this year also floated the idea of collecting social media and phone passwords from some immigrants entering the United States in what it said was an effort to tighten security at the nation’s borders.
Critics of the new plan say the move is disturbing, may violate individuals’ free speech, and may not make the nation any more secure. "We see this as part of a larger process of high tech surveillance of immigrants and more and more people being subjected to social media screening. There's a growing trend at the Department of Homeland Security to be snooping on the social media of immigrants and foreigners and we think it's an invasion of privacy and deters freedom of speech," Adam Schwartz, an attorney with the Electronic Frontier Foundation tells BuzzFeed News .
Schwartz also says US citizens who communicate with immigrants will also be affected by the program, and might have their private information and communications shared with the government.
Critics also say the information gathered from Facebook, Instagram and other social media platforms may be used to by the government to deny individuals entry into the United States, even when such information is inaccurate or individuals’ accounts have been hacked. “There is also the possibility that someone may be hacked and will be held to task for a post or comment,” García Hernández, assistant professor at the University of Denver Sturm College of Law tells BuzzFeed News.

Whatsapp Yafutwa China

Baada ya malalamiko ya muda mrefu ya serikali ya China juu ya mtandao wa ujumbe mfupi wenye kubeba mafaili ya Sauti, Picha na Video “WhatsApp” hatimaye imeuondoa rasmi nchini humo.

Imeripotiwa kuwa mtandao wa WhatsApp haupatikani nchini China kwa siku ya tatu sasa ambapo inadaiwa kuwa Mamlaka ya Mawasiliano nchini humo 'Observatory of Network Interference' (OONI) imefuta matumizi ya mtandao huo.

WhatsApp ambayo inamilikiwa na kampuni ya Facebook yenye makao yake makuu nchini Marekani imekuwa kwenye mgogoro na China ikilalamikia Serikali na mamlaka za usalama nchini humo kuingilia mawasiliano ya wateja wao kwa madai ya kufanya uchunguzi wa usalama wa taifa.

Hata hivyo kwa wageni wanaoingia nchini China huduma hiyo bado inapatikana kupitia SIM Card za mataifa yao hivyo inaonekana huduma hiyo imesitishwa kwa raia wa China pekee.

Uganda Nako Hali si Shwari.....Kiongozi wa Upiinzani Naye Kakamatwa kwa Kuhamasiha Wananchi Kupinga Kufutwa kwa Ukomo wa Rais

Kiongozi mkuu wa chama cha Former Forum for Democratic Change (FDC) Dk Kizza Besigye amekamatwa leo saa moja kabla ya Bunge kuanza kujadili pendekezo la kuondoa ukomo wa umri wa rais. Besigye, aliyewahi kugombea urais mara nne na akishindwa kwa Rais Yoweri Museveni alikamatwa mjini hapa alipokwenda kuwahamasisha wafuasi wake kupinga kufutwa Ibara ya 102 (b) kwenye Katiba iliyoweka ukomo wa kugombea...
Read More

Basi La Tashriff Lililokuwa Likitoka Tanga kwenda Dar Laungua Kwa Moto


Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Tanga kuelekea Jijini Dar es salaam wamenusurika kufa baada ya basi walilokuwa wamepanda la  kampuni ya Tashriff kuteketea kwa mot...
Read More

NAPE: WANANCHI WA MTAMA WANAHOJI HIZO NDEGE ZA BOMBARDIER ZINA FAIDA GANI KWAO KIJIJINI

Wananchi wa jimbo la Mtama mkoani Lindi wamemhoji mbunge wao, Nape Nnauye kuhusu ndege aina ya Bombardier, wakitaka kujua inawasaidiaje.

Ndege mbili aina ya Bombardier Dash 8 Q400 zilinunuliwa na Serikali kwa ajili ya kulifufua shirika la usafiri wa anga la Air Tanzania (ATCL), ambalo lilikuwa limezorota na kutishia uhai wake.

Ndege hizo zilizinduliwa na Rais John Magufuli Septemba 28, 2016 jijini Dar es Salaam.

Lakini wananchi wa Mtama bado hawajaona umuhimu wake na walimuhoji Nape, ambaye alikuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Jana Nape aliandika katika akaunti yake ya Twitter kuhusu utashi huo wa wananchi wake kuhusu Bombardier.

“Watu hawa wanapambana na hali zao! Waliniuliza bombardier ndiyo nini” na sie wa vijijini tutafaidikaje au ni kwenu mjini tu!?” ameandika Nape katika akaunti hiyo.

LEMA na NASSARI watachofanya iwapo raisi MAGUFULI hatawasiliza wampe ujumbe huu.

DAKIKA CHACHE BAADA YA KUACHIWA, MSIGWA AWATOLEA POVU POLISI


Mchungaji Peter Msigwa.

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amesema polisi hawawezi kumpangia nini cha kusema na wala sio majukumu yao.

“Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! Sitanyamaza,” ameandika Mchungaji Msigwa katika ukurasa wake wa Twitter.

Msigwa aliachiwa huru jana usikukwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara.

Msigwa ameachiwa baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili Alex Kimbe pamoja na Mwenyekiti wa Bavicha, Iringa Leonce Marto.

Richie-G - Kafeeling (Official HD Video)

MCHUNGAJI MSIGWA AMEKAMATWA BAADA YA KUSHUSHWA JUKWAANI

Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa (Chadema) amekamatwa na polisi leo Jumapili jioni baada ya kushushwa jukwaani kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlandege mkoani Iringa.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Iringa Mjini (Bavicha), Leonce Marto aliliambia Mwananchi kuwa mbunge huyo alikamatwa saa 11:24 jioni na Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa (RCO) aliyekuwa ameambatana na polisi wengine kisha wakampeleka ofisi za mkoa za jeshi hilo.
“Kutoka Mlandege mpaka ofisini kwa kamanda wa mkoa amebadilishwa kwenye magari matatu. Tunahisi atakuwa anasafirishwa ingawa bado anahojiwa. Yupo ndani, sisi tunaendelea kumsubiri nje,” amesema Marto.
Mwenyekiti huyo alizungumza na Mwananchi kupitia simu ya mbunge huyo na kubainisha kwamba mpaka wakati huo (saa 12:30 jioni) jeshi hilo halikubainisha sababu za kumshikilia Msigwa.

Overcoming Weariness - Joel Osteen


US Green Card Lottery for FY2019 Begins October 3rd,Ends November 7th, 2017


Irungu Thairu  
 
 3558 views5 comments
US Green Card Lottery for FY 2019 Begins October 3rd, Ends November 7th, 2017

The US Department of State has announced that the Diversity Immigrant Visa Program for the fiscal year 2019 (DV-2019), popularly known Green Card Lottery, will run from Tuesday, October 3rd, 2017 to Tuesday, November 7th, 2017.
The Green Card Lottery program makes 55,000 permanent resident visas available to nationals of countries with historically low number of immigrants in the United States. Kenya is among the countries whose nationals qualify to participate in the program.
To qualify for a Diversity Visa (Green Card), an applicant must be a national of a qualifying country and also either completed high school education of have worked in a qualifying occupation for at least two years.
Full eligibility criteria as well as instructions are available here .
Applications are only accepted online at the Department of State website .
Winners of the DV-2019 lottery program will be eligible to migrate to the United States starting in January, 2019 as long as they pass the mandatory interview at the US embassy located in their home country.

Majibu Aliyoyatoa Zitto Kabwe Baada ya Kukamatwa na Kupelekwa Kamati ya Maadili ya Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Ruyagwa Kabwe jana amefikishwa kwenye Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, kama ilivyotakiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai, kujibu tuhuma za kutoa kauli za kulidhalilisha bung...
Read More

Wanasheria Uingereza Wamwandikia Barua Rais Magufuli Sakata la Tundu Lissu

Taasisi tatu za juu za wanasheria za Uingereza zimeungana na kumwandikia barua ya wazi Rais John Magufuli zikiomba mamlaka kufanya uchunguzi wa kina juu ya tukio la kupigwa risasi kwa Lissu na kumfutia kesi zote zinazomkabili ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha. Barua hiyo imeandikwa juzi na kusainiwa na vigogo wa Chama cha Mawakili Uingereza (LS), Kamati ya Haki za Binadamu ya Wanasheria...
Read More

Mbowe Amshukuru Mange Kimambi na Wema Sepetu Kwa Kuhamasisha Michango ya Tundu Lissu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewashukuru Watanzania wanaoendelea kumchangia Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiwataja wanaoongoza katika kuhamasisha uchangiaji mitandaoni akiwamo Mange Kimambi na Wema Sepetu. Mbowe amesema mpaka leo Ijumaa jumla ya Sh204 milioni zimepatikana katika michango hiyo pamoja na msaada wa hali ambao wamekuwa wakipewa na Watanzania. “Tunawashukuru...
Read More

Hon. TUNDU LISSU FUNDRAISING

Wapenda amani na haki popote pale mlipo, Chadema tawi la Houston wakishirikiana na tawi la Washington DC, tumewasiliana na uongozi wa Chadema nyumbani Tanzania kuhusu njia za kuchangia matibabu ya Lissu na kukubaliana kwa pamoja kufungua GoFundMe account nia kubwa ikiwa ni kurahisisha uchangiaji kutoka diaspora pamoja na kufanya process iwe more transparent.

Mchango wako sio lazima uwe mkubwa, unaweza kutoa kiasi chochote, nia ni kuwafikia watu wengi kadri tuwezavyo.
Unaweza kuchangia kwa kuandika Jina lako au anonymously.


Kuchangia sio tu kutawezesha Lissu apate huduma bora zaidi, bali kutatuma ujumbe
kwa watu waliofanya shambulizi ili la kinyama kwamba watanzania siku zote watasimama upande wa amani na haki.

Fuata link hapo chini kuungana na diaspora wengine kuchangia matibabu ya Lissu:

https://www.gofundme.com/Lissumedicalcare#

Mbowe: Hakuna utaratibu wa kumsafirisha Lissu, amshangaa Waziri Ummy Mwalimu

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa sasa hakuna utaratibu wa kumsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwenda Marekani au Ujerumani kutokana na ushauri wa madaktari wanaomtibu.
Akizungumza leo Ijumaa jijini hapa, Mbowe amesema madaktari wamesema hawezi kwenda popote kutokana na hali yake.
Amesema baada ya awamu ya kwanza ya matibabu aliyoyapata katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7, ya pili inafanyika Nairobi, Kenya alipo sasa.
"Awamu ya tatu itaamua aende wapi ambayo itahusu mazoezi," amesema Mbowe.
Mbowe amemshangaa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kusema kuwa Serikali iko tayari kumtibu Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu popote duniani.
Mbowe ametoa mshangao huo leo Ijumaa alipokuwa akitoa taarifa kuhusu matibabu ya Lissu yanayoendelea jijini Nairobi.
Amesema wakati walipoamua kumpeleka Lissu jijini Nairobi, Waziri Ummy alikuwepo lakini walitaka Lissu apelekwe Muhimbili.