MACHOZI YAWATOKA DIAMOND NA ZARI BAADA YA KUONA MABAKI YA MIILI KATIKA VITA YA KIMBALI NCHINI RWANDA

Hapa Diamond na Zari walivyokuwa wanaangalia mifupa ya miili ya mapigano hayo ya Wahutu na Watusi ambayo yalitikisa dunia.

SIKU ZA WAUZA UNGA CHINA ZAHESABIKA


Madawa ya kulevya
Na Mwandishi Wetu, Mwananchi
Majina ya vigogo hao yametajwa na Watanzania waliofungwa katika magereza mbalimbali nchini China kupitia barua zinazoeleza namna matajiri wa hapa nchini wanavyowatumia vijana kusafirisha dawa za kulevya.

Dar es Salaam. Siku za wasafirishaji na wauzaji wa dawa za kulevya kwenda China sasa zinahesabika baada ya Jeshi la Polisi na kitengo chake cha Dawa za Kulevya kubaini majina ya vigogo wanaofanya shughuli hiyo na kusema imeanza kuwashughulikia kimyakimya.

MOROGORO WASHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA KWENYE MAFURIKO


Mvua kubwa zilizonyesha kwa muda mfupi mjini Morogoro zimesababisha mafuriko baadhi ya barabara kushindwa kupitika na maji kujaa katika baadhi ya maduka.
Wakazi wa mji wa Morogoro wakizungumzia mafuriko hayo wamelalamikia miundombinu mibovu ya barabara kutokana na kuziba kwa mitaro ambapo wameitaka halmasauri ya mji wa Morogoro kuzibua mitaro hiyo huku baadhi ya wafanyabiashara wakilalamikia kupata hasara.

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto


Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara. 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Mvua-kubwa-isiyotabirika-yaja/-/1597296/2574124/-/138f207z/-/index.html

HAPPY NEW YEAR ONE MARTIN ONE FAMILY

                                       

Hiace yaua sita Moshi


http://jamboleo.co.tz/hiace-yaua-sita-moshi/

WELLU ANASA MIMBA TENA!


Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’.
Stori: Waandishi Wetu

IMEVUJA! Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’, licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.Chanzo makini kinaeleza kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina maarufu hapa nchini, ambao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa.
Katika mawasiliano kwa njia ya simu, Wellu baada ya kubabaika, alikiri kuwa na ujauzito na kumtaja msanii huyo kama ndiye mwenye mzigo, lakini jina lake linahifadhiwa kwa sasa kwa vile mwenyewe hakupatikana ili kuzungumzia madai hayo.
“Haa, wewe nani kakuambia habari hizi,…

RAYUU AMUANIKA MWANDANI WAKE


Msanii wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’.
Stori: Mayasa Mariwata

MSANII wa filamu Bongo, Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amezua gumzo baada ya picha zake zinazomuonesha akiwa chumbani na mwanaume kuenea mtandaoni, huku kijana huyo akionekana kujichora tatoo yenye jina la mwanadada huyo.

Kijana huyo aliyefahamika kwa jina moja la Brown hakuweza kupatikana ili kuthibitisha uhusiano wake na mrembo huyo, lakini Rayuu alikiri kuwa ingawa picha iliyowekwa mtandaoni ilionyesha wakiwa kikazi zaidi, huyo ni mpenzi wake wa siku nyingi.…

DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!


Stori: Gladness Mallya na Musa Mateja
TABIA za mitoko ya usiku matembezini, uvaaji viatu virefu na unywaji pombe unaofanywa na wamama wajawazito, kama alivyo sasa muigizaji Aunt Ezekiel, zimeelezewa kuwa si nzuri na zina uwezekano mkubwa wa kusababisha madhara kwa mtoto anayetarajiwa kuzaliwa.
Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
Akizungumza baada ya kuulizwa na gazeti hili juu ya mwenendo wa muigizaji Aunt Ezekiel ambaye mara kadhaa huonekana akiwa ‘viwanja’ usiku,…

WEMA AFUNGA MWAKA KWA KILIO!


Stori: Musa Mateja na Imelda Mtema

OHOOOO! Wakati pazia la mwaka 2014 likifungwa leo, mama la mama, Wema Sepetu ‘Madam’ ameuaga mwaka huo kwa staili ya kilio cha nguvu, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo hatua kwa hatua.
Mkali katika tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu ‘Madam akilia huku akibembelezwa na shost yake Aunt Ezekiel.
NI KWENYE SHOO YAKE

Tukio hilo lililozua maswali mengi bila majibu, lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 29, mwaka huu kwenye shoo ya Madam ya kuuaga mwaka…

Deportation threat for Kenyan Mother in Germany over breastfeeding dilemma

dzine2

Married off in Mozambique: Families give away their daughters early


http://america.aljazeera.com/

Deportation story: One man's journey from London to Zimbabwe

Shadreck Mbiru Shadreck Mbiru spoke to the BBC from his new home in Zimbabwe
http://www.bbc.com/news/uk-30500439

Thea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana, Vimini ni KIKI tu ya Mjini


    http://www.mpekuzihuru.com/2014/12/thea-hatuvai-vimini-kusaka-mabwana.html

Mapenzi Moto Moto: Diamond Kula Sikukuu ya Mwaka Mpya Rwanda na Mpenzi Wake Mpya.....Kapokelewa kama mfalme huko Rwanda


Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' baada ya kuwasili Rwanda jana.
Diamond Platnumz (katikati) akiwa kamshika mkono mpenzi wake wa sasa Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Rwanda.
Diamond na The Boss Lady wakifanya yao.
Diamond (kulia) akiongea na wanahabari baada ya kuwasili Rwanda.

Wanahabari wakifanya yao.

Polisi Yatangaza Msako kwa Wanawake Wanaofanya Biashara ya Ngono


http://www.mpekuzihuru.com/2014/12/polisi-yatangaza-msako-kwa-wanawake.html

Nimeamua Kutoka Kimapenzi na Binti wa Kazi ( Hausigeli) , Sina Jinsi…


http://www.mpekuzihuru.com/2014/12/nimeamua-kutoka-kimapenzi-na-binti-wa.html

Moto wateketeza maduka 18, magari na pikipiki Handeni

                    
                                                      http://www.mwananchi.co.tz/

MAMA MDOGO, MAMA CONSE

NAPENDA MWEZI HUU KABULA YA MWAKA KUISHA KUMKUMBUKA MAMA MDOGO MARTINA AU MAMA CONSE KWENYE SALA ZAKO. TUNAKUMISS NA KUKUOMBEA. ALWAYS LOVED AND MISSED. MAX MUSHI

HABARI NDIYO HII JAMA KAAMUA KUJIKUBALI KIROHO SAFI



Hapo sasa kwani ukijikubali kiroho safi wala siyo tabu maana utakiwi kulazimisha vitu ambavyo siyo sahizi yako kiukweli jamaa kaamua kufunguka na kukifagilia kitoweo cha kitaa

Binti Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo


http://www.mpekuzihuru.com/2014/12/binti-ajizalisha-na-kutumbukiza-mtoto.html

MABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI


Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake.
Stori:Makongoro Oging’

Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita Ruta alidai kwamba Desemba 11, mwaka huu waliingizwa katika ofisi moja iliyopo Makambako mkoani Njombe na kuwakuta mabaunsa wawili na mabosi wengine akiwemo aliyetoka katika ofisi zao za Kigamboni Dar, walipigwa na kipande cha chuma…

NDOA YA ISABELA KARAMA YABUMA


Story:Mayasa Mariwata

MSANII wa muziki Bongo, Isabela Mpanda amesema kuwa anasikitika kuona mwaka umeisha mipango yake ya kufunga pingu za maisha na mwandani wake wa siku nyingi Luten Karama imegonga mwamba na kutamani kuolewa ndoa ya kimyakimya.
Msnii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda akiwa na mpenzi wake Luteni Kalama.
Akizungumza kwa masikitiko mwanadada huyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Ruvuma alisema, maisha ya uchumba yameshamchosha na ndiyo maana anapigania…

BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU-MKUTI


Na Laurent Samatta

BAADA ya wiki iliyopita msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kuripotiwa kwenye moja ya magazeti pendwa kuwa hana uhusiano na mtu yeyote ndani ya Bongo Muvi na yupo mbioni kumuanika mrithi wa Sajuki mengi yameendelea kuibuka.
Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma akiwa kwenye pozi la kimahaba na Bondi Bin Salim.
Akizungumza na Uwazi, mpenzi wa Wastara anayetambulika kwa jina la Bondi Bin Salim alidai kuwa yupo kwenye mchakato wa mwisho wa kutoa mahari kwa ndugu wa msanii huyo…

BASTOLA TISHIO DAR!


Stori:Waandishi wetu

IKIWA imebakia siku moja kabla ya mwaka 2014 kumalizika, jiji la Dar es Salaam limejikuta likigubikwa na mauaji ya mara kwa mara, hasa ya kutumia silaha baada ya kubainika kuzagaa kwa bastola zilizo mikononi mwa watu waovu.

Madaraka.
Silaha hizo sasa zimekuwa kama simu za mikononi ambazo karibu kila mtu jijini Dar es Salaam anayo na hivyo kuwapa hofu kubwa wananchi ambao hawajui lini na wapi litatokea tukio la ujambazi, hasa kutokana na msongamano mkubwa wa…

WAIMBA INJILI WANA NINI?


Stori:Na Mwandishi Wetu

MENGI yameibuka kufuatia waimba Injili Bongo kukumbwa na kashfa mbalimbali zikiwemo ndoa zao kuvunjika, madai ya kuchepuka, kupata ujauzito nje ya ndoa na matumizi ya madawa ya kulevya, Uwazi limechimba na kuchimbua.
Janet Mreme akiwa na mume wake Jonas Mrema.
BADO JINAMIZI LA KUVUNJA NDOA LAWAANDAMA

Mpaka sasa, waimba Injili wanawake wameshakumbwa na mikasa mbalimbali lakini mpya kabisa ni madai ya hivi karibuni kwamba, ndoa ya mwimbaji…

Mvua yazua taharuki Dar


http://jamboleo.co.tz/mvua-yazua-taharuki-dar/

ASKARI ACHOMWA MKUKI WA UBAVU MARA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu
Baadhi ya picha za matukio ambayo jeshi la polisi hupamba nayo.

Na Samson Chacha - Mara
Askari polisi Deogratius wa Kituo cha Polisi, Kinesi Wilayani Rorya mkoani Mara, amechomwa mkuki na wananchi waliovamia mgodi wa dhahabu wa ACACIA North Mara kwa lengo la kupora mawe.

Kamanda wa Polisi wa Tarime Rorya, ACP Lazaro Mambo, alisema jana kuwa, askari huyo alijeruhiwa na kundi la watu zaidi ya 2,000 lililovamia kwenye mgodi huo Jumanne ya wiki hii.

Alisema wavamizi hao walikuwa na silaha mbalimbali za jadi.
Alisema mara baada ya kuingia ndani ya mgodi huo, watu hao walifanya vurugu kwa kuwashambulia askari na walinzi waliokuwa wakilinda mgodi huo.

BATULI: NAYACHUKIA MAPENZI YALIYOPITA


Stori: Imelda Mtema
STAA mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho kinamuuza na kukichukia kama mapenzi yaliyopita.
Staa mkali wa filamu za hapa Bongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Batuli alisema kuwa anachukia na kudharau mno uhusiano uliopita kwani haukuwa ni sahii kwake hivyo hataki hata kuukumbuka.
“Nayachukia sana mapenzi yaliyopita kwa kweli na kuna wakati sipendi kabisa kuifanya…