MABOSI LAKE OIL WADAIWA KUMVUA NGUO MFANYAKAZI


Mfanyakazi wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil, Deocres Deus Ruta (32) anayedai kunyanyanswa na mabosi zake.
Stori:Makongoro Oging’

Baadhi ya vigogo wa kampuni ya mafuta ya Lake Oil wanadaiwa kumvua nguo mfanyakazi wao Deocres Deus Ruta (32) (pichani)ambaye ni dereva wao pia vijana wawili ambao siyo wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Akizungumza katika ofisi za gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita Ruta alidai kwamba Desemba 11, mwaka huu waliingizwa katika ofisi moja iliyopo Makambako mkoani Njombe na kuwakuta mabaunsa wawili na mabosi wengine akiwemo aliyetoka katika ofisi zao za Kigamboni Dar, walipigwa na kipande cha chuma…

No comments:

Post a Comment