Why Sex Is Good for Your Health, Especially Your Heart


http://www.msn.com/en-us/health/wellness/why-sex-is-good-for-your-health-especially-your-heart/ar-BBi324r

The Sporah Show with Zari Last year Jul 7, 2014


Sporah Show with Rachel Kizunguzungu


Mkasi na Jerry Muro


Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-


1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini.

2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo, wanaume ni waoga kuliko wanawake.

3. Kuna Wakibosho wanafanana na Warombo lakini ni wavumilivu zaidi, wanatunza pesa vizuri na wanahasira sana ila wanamsimamo katika biashara.

4. Kuna Wamachame hawa ni wezi sana, ukifanya nae dili umeliwa, niwasiri sana, anaweza kukuua huku akitabasamu, sio waaminifu sana lakini huenda kanisani mara nyingi zaidi kuliko Wachaga wote.

5. Kuna Wauru, hawa hupenda kusoma sana lakini hawapendi maendeleo kabisa, wanawake wakifikisha umri wa 40 yrs hua wehu na wanaume ni vichaa mapema zaidi. Wanaume ni wavivu, wanawake ni wachapakazi hodari. Ukioa huko jiandae kulea kichaa.

6. Kuna Wakirua, wanapenda sifa kama Wahaya. Mwanamke wa Kirua hawezi kua na mwanaume mmoja na wanaume wao hawaoi kwao, wako wachache lakini watatu tu mjini mtadhani wako mia.

7. Kuna Wa-old Moshi. Hawa ni mafundi stadi wa ujenzi wa nyumba japo hawajengi manyumbani kwao. Mpaka leo hamna daladala ya kwenda Old-Moshi maana niwabishi kulipa nauli na pesa inaishia kwenye mbege njiani. Wanaume wamezoea kutoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri na kurudi saa sita ya usiku kwa miguu. Ktk familia ya watoto watatu ujuwe wawili ni wa baba wa jirani muuza nyama au bar.

Sent from my BlackBerry 10 smartphone.

MTAA WA MSIMBAZI,KARIAKOO JIJINI DAR


TOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!


MAKALA: AMRAN KAIMA/Ijumaa
Ukifuatilia sana kwenye nchi za wenzetu kama vile Marekani na kwingineko, mastaa hawako makini na suala la uvaaji. Yaani si ajabu kuona staa mkubwa akikatiza mtaani akiwa amevaa nguo ya ndani na ukishangaa utaonekana mshamba.
Jokate Mwegelo.
Wanaovaa hivyo hawajakosa nguo za heshima za kuvaa bali ni ule ulimbukeni wa kutaka wawe gumzo na kuendelea kuwa maarufu.Kutokana na athari ya utandawazi, hapa Bongo wapo mastaa ambao nao wameiga kiasi cha kutoona aibu kuvaa nguo zinazoacha wazi…

SKENDO! LULU, WOLPER WAONESHANA JEURI YA MABWANA!


Stori: Musa Mateja/Ijumaa

Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike ndani ya tasnia ya sinema za Kibongo ambapo safari hii mastaa wawili, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Jacqueline Walper ‘ Wolper’ Massawe wanadaiwa kuoneshana jeuri ya mabwana wakipima ni yupi mwenye mshiko zaidi huku akina Wema Isaac Sepetu na Kajala Masanja ambao awali walikuwa juu wakipotezwa.
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael…

Bloomberg Ranks Kenya's Growth Rate Third Globally

Bloomberg Ranks Kenya's Growth Rate Third Globally
http://www.mwakilishi.com/content/articles/2015/02/26/bloomberg-ranks-kenyas-growth-rate-third-globally.html

Tibaijuka abishana dakika 415, Chenge aenda Mahakama Kuu

                        
Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka akipokea maelekezo kutoka kwa wakili wake Rugemeleza Nshala wakati baraza likiendelea. Picha Emmanuel Herman
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Tibaijuka-abishana-dakika-415/-/1597296/2637012/-/io20ey/-/index.html

MBUNGE KENYA AMFUKUZA KAZI MFANYAKAZI WAKE BAADA YA KUKATAA KUFANYA NAE MAPENZI

Susan Wambui MainaJuja MP Francis Munyua Waititu
Susan Wambui Maina Juja MP Francis Munyua Waititu

Sacking people through texts its nothing new.
Recently Juja MP Francis Munyua Waititu sacked one of his employees Susan Wambui through text.

But that is not the shocking part…
The Juja Member of Parliament is believed to have demanded sex from Wambui and when she did not agree to his demands, he gave her the sack via text.
Wambui who works as a secretary at the Juja CDF Offices shared the texts sent to her by the Juja MP on social media.

Here are the texts below:

” Ulikataa nikule hizo vitu na vile nazimezea mate. Now i am employing another person on your behalf. Hii dunia kila kitu ni nipe nikupe. Ken will give you the other details on how to to clear from the office. Goodbye” sent on 23/10/2014

”I can see even you are supporting Kabogo’s brother on that nonsense he posted on Kalimoni group. I thought of paying you through CDF because I removed you from PSC through anger even CDF you will not get. Nowadays it is unipe nikupe my friend.Dont think Kangethe will take you anywhere. Try and see” sent on 31/10/2014

” The worst mistake can be if you are used by Kabogo fanatics to spoil my name. All secrets from my office should be left there or else you will regret”

And this is what Susan had to reply to Waititu:

“I like that sir, As you can see I have not replied to your messages since the first one. I would rather be jobless than leave my husband and be a mistress. You own Juja but you don’t own Kenya. The same God who made you an MP without sleeping with anyone is the same God who will bless me. Do me a favor and leave me alone. Employ the ones who will sleep with you all you want mimi apana. And on Facebook I have the right to comment to whoever i want.”

Breaking News: Chid Benz Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Miwili Jela au Kulipa Faini ya sh. 900,000

            
                       http://www.mpekuzihuru.com/2015/02/breaking-news-chid-benz-ahukumiwa.html

JOHARI AMWANIKA MWANAUME AMTAKAYE


STAA wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’ ameamua kuvunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuweka wazi mwanaume ambaye anahitaji amuoe na sababu inayomfanya asijichanganye na mastaa wenzake.
Staa wa filamu, Blandina Chagula ‘Johari’.
Katika makala haya Johari amefunguka mengi, msome;
Mwandishi: Kwa nini mara nyingi hupendi kujichanganya na mastaa wenzako?
Johari: Ujue nina kampuni ambayo wakati wote nahitajika kuwepo hapo, na kama kujumuika, najumuika na wenzangu pale…

Help needed to find anyone who knew American Dean Erwin and Tanzanian Rehema Sanga

                 
                         http://www.wavuti.com/2015/02/help-needed-to-find-anyone-who-knew.html

http://www.msn.com/en-us/news/world/two-years-on-forgotten-pope-sees-out-days-in-the-shadows/ar-BBhYxOg

Pope Emeritus Benedict XVI and Pope Francis attend the Ordinary Public Consistory at St. Peter's Basilica on Feb. 14 in Vatican City, Vatican.© Franco Origlia/Getty Images Pope Emeritus Benedict XVI and Pope Francis attend the Ordinary Public Consistory at St. Peter's Basilica on Feb. 14 in Vatican City, Vatican.
http://www.msn.com/en-us/news/world/two-years-on-forgotten-pope-sees-out-days-in-the-shadows/ar-BBhYxOg

MCHUUZI WA SOKO JIPYA LA KAWE AIBUKA NA TOYOTA IST‏


Mfanyabiashara wa Soko la Jipya la Kawe, Grace Pascal Kalengela (wa pili kulia), ambaye aliibuka mshindi wa Droo ya tatu ya promosheni ya Airtel Yatosha Zaidi akishangiliwa na wafanyabiashara wenzake sokoni hapo, kabla ya kukabidhiwa zawadi ya gari jipya aina ya Toyota IST lililosajiliwa kwa namba T 783 DCZ katika hafla iliyofanyika eneo la Kawe jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Biashara wa…

OFM YAFUMUA DANGURO MWANZA


Mwandishi Wetu/Mchanganyiko

Baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa kuna maeneo jijini Mwanza yanatisha kwa biashara ya ngono, Operesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers hivi karibuni imetua na kufanikiwa kufumua dangaro maarufu.

Makahaba hao wakiwa katika mawindo yao ya kila siku.
Awali, dawati la OFM lilipokea sms kutoka kwa msomaji wake aliyeomba hifadhi ya jina lake iliyosomeka hivi: “Jamani nyie tunawaaminia kwa kufichua maovu, tumeona kazi nyingi nzuri mlizofanya Dar sasa tunaomba mje huku Mwanza maana…

Kimenuka Iringa

               
                                       http://jamboleo.co.tz/kimenuka-iringa/

I Don't Have a Job; I Have a Higher Calling

Millennials spurn the old-fashioned job for a higher calling.© Wendy Maeda/The Boston Globe/Getty Images Millennials spurn the old-fashioned job for a higher calling.
http://www.msn.com/en-us/money/careersandeducation/i-dont-have-a-job-i-have-a-higher-calling/ar-BBhWaWx

NDOA YA SLIM YAVUNJWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa mke wa staa wa filamu nchini, Salim Mbegu ‘Slim’, Asia Morgan akiwa katika pozi.
“Mahakama hii imevunja baada ya mdai (mke) kusema hata iweje hawezi kurudi tena kwa mumewe huyo kutokana na kuwa na wivu wa kupindukia na kingine kibaya walivyokuwa kwenye mgogoro kuna mwanamke alikuwa akijinadi kwa kupiga picha nyumbani kwa mumewe na kuzituma kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram,” alisema Hakimu Mwanaidi Madeni wa mahakama…

WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI


Waandishi wetu/Mchanganyiko

DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine, Risasi Mchanganyiko linakupa stori kamili.
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma akiwa hospitali baada ya kuzimia.
TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara alipenyezewa ubuyu na mpenzi wa zamani wa…

Maneno ya Zari Hassan kwa picha inayo muonyesha Diamond Platnumz akichungulia anacho kifanya kwenye simu

Mwimbaji Lady JayDee alisha imba kuwa "Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli". Ukiona upo na mpenzi na yeye hana wivu kwako basi hana mapenzi ya kweli kwako.Picha inayo muonyesha Nasib Abdul aka Diamond Platnumz akichungulia kwenye simu ya mpenzi wake 'Zari Hassan' ime make headline kwenye mitandao ya kijamii.Lakini lakufurahisha ni maneno aliyo yaandika mama huyo kuhusiana na picha hiyo kuwa alizani ni yeye tu huwa anatabia ya kuchungulia nini Diamond anachokifanya kwenye simu kumbe hata Nasib naye huwa anachungulia nini The Boss Lady anakifanyaga kwenye simu.

Haya ndiyo maneno ya Zari "Thought i was the only one with this peeping habit��, your so busted Boo..

SNURA: NILIPOTELEA SAUZ NA MOMBASA


Gladness Mallya/Ijumaa wikienda

Alikuwa wapi? Baada ya kupotea kwa muda mrefu, staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi hatimaye ameibuka na kueleza sababu za ukimya wake.
Staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum, Snura amefunguka kwamba ukimya wake ulitokana na kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kushuti video ya wimbo wake wa Najidabua na siyo kweli kwamba alikuwa mkoani Mbeya kwa mwanaume.
Katika intavyu hiyo, Snura alikanusha tetesi za…

Le Projectii:Wema Sasa Ampikia na Kumpakulia Ommy Dimpoz

Wakati mwanamziki wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz akiendelea kupepesa macho na kutikisa masikio kukanusha kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwingizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu ukaribu wao bado unatia mashaka na kuendeleza sintofahamu miongoni mwa mashabiki na wapambe wao.

Ukimwona By Diamond TZ


Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.

Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.



Floyd Mayweather

Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny Pacquiao atachukuwa dola za kimarekani milioni 100.

Sikuzote Mayweather amekuwa mshikadau mkubwa katika mikataba yake yote anayoingia kupelekea yeye kupewa kile anachokitaka.
Nakala ya mkataba aliyoonyesha Mayweather kwenye mitandao ya kijamii



Ameweka picha hiyo ya mkataba pamoja na maneno yanayosomeka: “Kile Dunia ilikuwa inasubiria kimeshafika. Floyd Mayweather v/s Manny Pacquiao ni Mei 2, 2015, hili ni dili lililokamilika. Niliwahakikishia masabiki kufanikisha swala hili na tumefanya hivyo. Tutatengeneza historia siku ya Mei 2, Usiache kuja. Huu ni mkataba uliosainiwa na sisi sote."


Kutoka ripoti mbali mbali, vyumba vyote Ndani ya MGM Grand vimechukuliwa ndani ya dakika 3, toka mpambano utangazwe

Mkasi na Mike Mushi


PENZI LAKE NA WEMA ,KUMBE DIMPOZ BOYA TU

Stori: Musa mateja

HABARI ya mjini ni kwamba, lile penzi linalonadiwa la Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ limejaa magumashi, ikidaiwa kuwa jamaa huyo kawekwa kama boya tu, nyuma yake kuna kigogo mzito serikalini ndiye anayekula vinono, Risasi Jumamosi limetonywa.
Mbongo-Fleva, Omary Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ akiwa na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, Dimpoz ameagizwa na kigogo huyo awe mpenzi…

ODAMA AFUNGUKA KUCHANGIA WANAUME!


Laurent Samatta

MAMBO yanazidi kunoga ndani ya safu hii ya Sindano 5 za moto, kutokana na maombi yenu, leo tumemleta kwenu mwigizaji Jeniffer Kyaka ‘Odama’, tiririka naye:
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Jeniffer Kyaka ‘Odama’.
Paparazi: Mambo vipi Odama! Tuanze moja kwa moja na swali la kwanza, hivi kwa sasa una mpenzi? Mbona hatumjui?Odama: Mambo poa! Mpenzi ninaye, nampenda muda bado wa kumuanika.Paparazi: Ulishawahi kuchangia bwana na mwanamke mwingine katika maisha yako?…

MALICK: SIJAONA KAMA ROSE NDAUKA


Imelda Mtema/Ijumaa

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe ambaye sasa anatamba na wimbo wake wa Tucheze amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa tangu atengane na mzazi mwenziye, Rose Ndauka bado hajatokea wa kumtetemesha.
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Malick Bandawe.
Akizungumza na Ijumaa juzikati, Malick alisema kuwa huko nyuma alipomuona Rose alimtetemesha na kuamua kuingia mzimamzima mpaka kufikia hatua ya kupata naye mtoto lakini mpaka sasa hajatokea kama yeye.…

SNURA: SIJAZAA, KWA NINI MNANIZALISHA?


Gladness Mallya/Ijumaa

Msanii anayefanya muziki na filamu Bongo, Snura Mushi ameeleza kushangazwa kwake na taarifa zinazozidi kuenea kuwa amejifungua, jambo ambalo anadai eti siyo kweli.
Msanii anayefanya muziki na filamu Bongo, Snura Mushi.
Madai ya staa huyo kujifungua kwa siri yameenea na hata wasanii wenzake wanajua hivyo lakini mwenyewe amekuwa akikanusha na kuwaacha mashabiki wake njia panda.Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Snura alisema yeye ana mtoto mmoja mkubwa lakini madai ya kwamba amejifungua…