SNURA: NILIPOTELEA SAUZ NA MOMBASA


Gladness Mallya/Ijumaa wikienda

Alikuwa wapi? Baada ya kupotea kwa muda mrefu, staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi hatimaye ameibuka na kueleza sababu za ukimya wake.
Staa wa sinema na muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum, Snura amefunguka kwamba ukimya wake ulitokana na kwenda Afrika Kusini ‘Sauz’ kushuti video ya wimbo wake wa Najidabua na siyo kweli kwamba alikuwa mkoani Mbeya kwa mwanaume.
Katika intavyu hiyo, Snura alikanusha tetesi za…

No comments:

Post a Comment