Mbunge Mwingine wa CHADEMA Atiwa Mbaroni


SeeBait
Mbunge Frank Mwakajoka amekamatwa akifuatilia kesi inayomkabili mbunge mwenzake wa Mbozi, Pascal Haonga.

Mbozi. Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakajoka amekamatwa na polisi akiwa katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Mbozi mjini Vwawa.

Mwakajoka amekamatwa leo Agosti 29 baada ya kufika mahakamani hapo kufuatilia kesi inayomkabili mbunge mwenzake wa Mbozi, Pascal Haonga.

Katibu wa Chadema Wilaya ya Mbozi, James Mbasha amesema mbunge huyo amekamatwa lakini hajui kosa linalomkabili.

Mbasha amesema alipata taarifa leo asubuhi kwamba mbunge huyo anatafutwa na polisi.

Katika kesi mahakamani hapo, Haonga na wenzake wawili Wilfred Mwalusanya na Mashaka Mwampashi wanakabiliwa na mashtaka mawili, kufanya vurugu na kuwazuia askari kufanya kazi yao kinyume cha sheria.

Mwendesha mashitaka wa polisi, Samwel Saro anadai jana Agosti 28 saa saba mchana, washtakiwa walimzuia askari kutimiza majukumu yake ya kumkamata Mwampashi aliyedaiwa kwamba si mjumbe halali katika uchaguzi wa mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlowo.

Washtakiwa pia wanadaiwa kumfanyia vurugu msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbozi,  Lauteri Kanoni.

Washitakiwa walikana mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo,  Asha Waziri ambaye alisema dhamana iko wazi kwa kila mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho kutoka kwa watendaji wa maeneo yao watakaoweka bondi ya Sh2 milioni kila mmoja.

Washtakiwa walitimiza masharti na kuachiwa huru kwa dhamana. Kesi itatajwa Septemba 25 na washtakiwa watasomewa maelezo ya awali.

LISSU AWAONGOZA MAWAKILI KUGOMA KUINGIA MAHAKAMANI

RAIS wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Tundu Lissu amewaongoza mawakili nchini kugoma kuingia mahakamani kwa muda siku mbili leo Agosti 29 na 30, 2017 wakilaani tukio la kushambuliwa kwa ofisi za IMMMA Advocates iliyolipuliwa kwa bomu usiku wa kumakia Jumamosi iliyopita.

Akizungumza na wanahabari kuhusu uamzi wa Baraza la TLS, Lissu amesema ni haki ya kisheria ya mtu yeyote kutoa maoni yake, kupinga maamuzi ya TLS, sio dhambi na hatochukuliwa hatua.

“Mengi wamefanyiwa mawakili lakini hili la juzi tumesema hatukubali kukaa kimya wakati mawakili wetu wanashambuliwa. Kwa busara za TLS tuliona tufanye maamuzi ya kusimamisha kazi kwa siku mbili ili kupeleka ujumbe kuwa jambo hilo si jema,” alisema Lissu.

Kuhusu endapo mawakili wote wamegoma Lissu alisema hawezi kulizungumzia kwa sasa, hadi jioni ambapo ripoti kamili itakuwa imepatikana kwa kuwa kuna mawakili wengine walikuwa na kesi asubuhi, wegine mchana, hivyo haikuwa rahisi kufahamu ni mawakili wangapi wamegoma.GPL

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

Picha : Conor McGregor achezea kichapo kutoka kwa Mayweather Jr

 Floyd Mayweather Jr amsukumia ngumi maridadi ya mkono wa kulia Conor McGregor
 Mchuano mkali wa ndondi kati ya Conor McGregor na mwanandondi Floyd Mayweather Jr umemalizika huko Las Vegas, Nevada nchini Marekani, baada ya kuchelewa kuanza kwa muda wa saa moja hivi.
 Bondia Floyd Mayweather Jnr, akimlemea Conor McGregor kwa makonde mazito mazito kabla ya kumalizika raundi ya 10.

God's Got This - Joel Osteen


Jalada La Kesi La Mkurugenzi Wa Nida Liko Kwa DPP

Mahakama  ya Hakimu Mkazi Kisutu  jana imeelezwa kuwa jalada la kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya aliyekiwa Mkurugenzi Mkuu Wa Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu,  lipo kwa DPP. Mwendesha Mashtaka, wakili wa serikali, Peter Vitalis alieleza hayo mbelw ya Hakimu Mkazi Respicius Mwijage. Alidai kuwa shauri hilo jana lilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini jalada halisi la...
Read More

Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)

KIKWETE AWATETEA WAPINZANI, ATAKA WASICHUKULIWE KAMA MAADUI

Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amevitaka vyama tawala barani Afrika kutovichukulia vyama vya upinzani kama maadui wa serikali badala yake vionekane kama moja ya nguzo muhimu katika kutimiza utawala wa sheria.

Aidha, Rais Kikwete amewataka wabunge wa vyama tawala pamoja na viongozi wengine, kuvikosoa vyama vyao pale vinapokwenda mrama badala ya kuwa waoga na kuunga mkono mambo yote.

Rais Kikwete ambaye ni maarufu Tanzania kwa jina la JK ameyasema hayo alipokuwa katika mkutano wa masuala ya uongozi barani Afrika wa mwaka 2017 (African Leadership Forum 2017) ambao umefanyikia nchini Afrika Kusini.

Viongozi wengine waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Rais mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa, Rais mstsaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki na Rais mstaafu wa Malawi, Bakili Muluzi.

Breaking News: Tundu Lissu Kaachiwa kwa Dhamana Leo

Breaking News: Tundu Lissu Kaachiwa kwa Dhamana Leo

Mwanasheria MKuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki leo tarehe 24 Agosti 2017 amepata dhamana ya polisi na kuweza kuachiwa huru baada ya kushiliwa na jeshi hilo kwa siku mbili, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana ya Polisi kwa masharti ya kuripoti kituo cha polisi  siku ya Jumatatu ya tarehe  28 Agosti 2017 wakati wowote akiwa na muda. Tundu Lissu alikuwa anashikiliwa na jeshi...

POLISI WAMALIZA KUMPEKUA LISSU NYUMBANI KWAKE

Jeshi la Polisi limemaliza upekuzi waliokuwa wanafanya nyumbani kwa Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu wanaelekea Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Taarifa ya msemaji wa Chadema Tumaini Makene amesema Lissu anapelekwa polisi kwa ajili ya taratibu zingine za kisheria kuendelea ikiwa ni pamoja na dhamana yake ambayo kisheria iko wazi.
Amesema upekuzi uliofanyika ulihusu makosa mawili anayotuhumiwa nayo ya kumkashifu rais na Uchochezi kuhusu kushikiliwa ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 huko nchini Canada.

Chanzo: Mwananchi

Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Jeshi la Polisi Akiwa Kisutu


SeeBait
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amekamatwa  leo Jumatatu mchana akitokea Mahakama ya Kisutu.

Mwanasheria huyo alikuwa na kesi ya tuhuma za uchochezi lakini pia alikuwa ni wakili kwenye kesi inayomkabili mfanyabiashara Yericko Nyerere mahakamani hapo.

Akielezea ilivyokuwa Ofisa Habari wa Chadema, Tumaini Makene amesema wakati gari la Lissu likiwa liko getini tayari kwa kutoka, likazuiwa na nyuma ya gari yake pia likasimama gari jingine likiwa na askari polisi wenye silaha, kisha wengine wakamfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na atakiwa kwenda Central Police.

Baada ya hapo, wakamtaka ashuke kwenye gari lake na apande gari jingine la kwao kwa ajili ya kuelekea Central Polisi.

Tundu Lissu amekamatwa leo tarehe 22 Agosti 2017 zikiwa zimepita siku tatu toka alipotoa taarifa ya ndege ya Tanzania  'Bombadier Dash Q400' kuzuiliwa nchini Canada kutokana na amri ya mahakama

Kenyan-Born, Dallas-Based Doctor Sentenced to 2.5 Years inPrison for Medicare Fraud


Irungu Thairu  Mon, 08/21/2017 - 17:28  2685 views 7 comment
 Kenyan-Born, Dallas-Based Doctor Sentenced to 2.5 Years in Prison for Medicare Fraud

Dr Ransome Njekia Etindi

COMMENT7
FACEBOOKTWITTERLINKEDINWHATSAPP
A Kenyan-born doctor has been sentenced to 2 ½ years in prison and ordered to pay $18 million in restitution for Medicare fraud scheme by a federal court in Dallas, Texas.
Dr Ransome Njekia Etindi, 57, pleaded guilty to conspiracy to commit health care fraud while working at Dallas-based practice called US Physician Home Visits (USPHV). Dr Etindi and five other physicians at the practice were charged with defrauding the Medicare system by providing false Form 485 certifications. The doctors at the practice signed and submitted Forms 485 to the Medicare system for reimbursement for home health services even if the beneficiary was ineligible to receive the services and sometimes without the knowledge of the patient or patient’s medical history, says the Department of Justice (DOJ).
According to the DOJ, “more than 97 percent of USPHV’s Medicare patients received home health care – whether they needed it or not. As a result of these false Form 485 certifications, Medicare paid more than $40 million in fraudulent home health services.”
Dr Etindi served as USPHV’s medical director, and used his Medicare number to USPHV to use to bill Medicare in a fraud scheme that ran from January, 2009 to June, 2013, said the DOJ. According to the DOJ, starting in January, 2013, claims submitted to Medicare by USPHV indicated Etindi provided his services, regardless of who actually performed the services.
According to the Texas Medical Board, Dr Etindi also had his medical license suspended in 2011 for having sex with one of his patients.
Other physicians at the practice have also been convicted and sentenced to terms ranging from 2 years to 10 years and each ordered to pay millions of dollars in restitution.

Phillz ft Darassa - Number 1 ( Official Video )

LISSU AFICHUA KILICHOCHELEWESHA BOMBADIER KUFIKA

NBA Star Dirk Nowitzki Speaks About His Family Ties toKenya


John Wanjohi  Sat, 08/19/2017 - 15:24  829 views 1 comment
NBA Star Dirk Nowitzki Speaks About His Family Ties to Kenya

COMMENT1
FACEBOOKTWITTERLINKEDINWHATSAPP
Dirk Nowitzki, who plays for the Dallas Mavericks in the National Basketball Association (NBA) recently talked about his familial connections to Kenya.
In 2012, the German-born Dirk Nowitzki tied the knot with his Kenyan-Swedish fiancée in a Kenyan traditional wedding, which he says marked the beginning of their beautiful union.
He narrates how he was made pick out his fiancee, Jessica from a parade of women, all donned in the same regalia. Dirk said her unique scent and height enabled him to pull her out, an ocassion that remains parmanently stuck in his mind to date.
“I guess it’s one of the traditions. If you get it wrong, you got to pay the parents a goat or something. I was lucky I smelled her to find the right one. But that was just an experience that I’ll never forget.”
He revealed how he enjoyed a party thrown after the wedding, fully clad in traditional clothing, with the photos of the occassion on his hands.
“Her mom threw a wedding party and that’s where some of those photos came from where I had the outfit on with a hat on,” Nowitzki, who loves Kenyan barbecue and stews, said.
“It was a special experience. I’ve never, obviously, been a part of anything like that, the dances, the whole experience, the tradition of a wedding down there.
“It’s different. You have to cut a goat. Lots of symbols, all the different things. They really threw us a really traditional Kenyan wedding.”
The two in February 2010 at a charity event for the Sports for Education and Economic Development (SEED) Project in Dallas and started dating.
Jessica Olsson is the daughter of a Kenyan mother and a Swedish father. Her mother hails from Nanyuki, Laikipia County, but she was raised in Sweden together with her two younger twin brothers, Martin and Marcus who both play soccer in England.
She is currently the associate director of Dallas’ Goss-Michael Foundation Art Gallery.
Asked what he loves about his wife, Dirk he said ,“First, she’s got to be attractive. That’s obviously part of it. And I think we just clicked intellectually. She likes art, she likes sports, she grew up around sports. We both love tennis and we love to travel. We both love kids and family.”
The couple first appeared in public at the red carpet at The ESPYS awards causing public attention and Twitter busted after they kissed when he won an award during the televised show. He says they have never experienced any negative racial comments.
“Everybody that’s met my wife has said she’s great with me. So I haven’t heard any of that to my face. I’m sure there are some people that think of it to themselves,” he says.
Having spent time with his in-laws in Nanyuki, Dirk can pronounce words like cucu, nyama choma and poa perfectly and says Kenya is his second home. He visits Kenyan in-laws at least once a year.
Speaking while attending the NBA game in South Africa last week, Dirk said he has passed by Nanyuki at his in-laws where he tayed for a week.
“We came to Kenya to see cucu ,” he says pronouncing the Kikuyu name for grandmother perfectly.
“We just came straight from Kenya (to South Africa), my wife has a lot of family from there, uncles, aunts… we were there for over a week traveling.”
“Last year we were in Mombasa, we have been basically all over the place. I love the diverse nature that is in Kenya, be it in Nairobi or the Mount Kenya region which is very cold right now,” he says.
With a number of accolades to his name including Most Valuable Player and International Basketball Federation Europe Player of the Year, Dirk became the first non-American player to scoop the Naismith Legacy Award on December 10, 2012 and also is Maverick’s leading scorer.
He is currently listed as the sixth highest scorer in NBA history having made over 30,000 points through his 20-year career.

CHARLES AMOUR GOING HOME CHURCH SERVICE

Mrs. Josephine Ramadhani-Hoobler would like to announce a going home service for her brother Mr. Wilson Charles Amour. Which will take place on Tuesday August 22,2017 @5:00pm At St. Barnabas Episcopal Church

14111 Oak Grove Road

Upper Marlboro MD 20774

There will be food at refreshments at her home following service.

For more information call:

Josephine R. Hoobler 443-771-1543

Dolly Ramadhani 301-789-3998

Semi Ramadhani-Weaver 301-538-7476

A Son Mentality - Joel Osteen


US Firm Wins Sh230 Billion Nairobi-Mombasa High SpeedSuperhighway Project

John Wanjohi  Fri, 08/18/2017 - 07:59  627 views 2 comment
US Firm Wins Sh230 Billion Nairobi-Mombasa High Speed Superhighway Project

COMMENT2
FACEBOOKTWITTERLINKEDINWHATSAPP
Kenya has contracted a US-based firm to construct a multi-billion Nairobi to Mombasa high speed superhighway.
The Kenya National Highway Authority (KeNHA) said it will oversee the construction of a new high-speed highway that is expected to cost the taxpayer Sh230 billion.
Kenya Highway Authority inked deal with Bechtel International, a US-based engineering company to construct the road that is expected to reduce hours of travel between the two cities to four hours only.
"Bechtel has been selected to build the first high-speed expressway in Kenya. The 473-kilometre highway will improve connectivity and safety," KeNHA's director general Peter Mundinia said.
The multi-billion project will be financed by the US Export-Import Bank and Overseas Private Investment Corporation. "The highway will have four lanes with provisions for future expansion to six and 19 interchanges, It will reduce time taken to Mombasa from Nairobi to roughly four hours" Mundinia said.
Bechtel is one of the largest global construction companies and has already set up its African office in Nairobi.

WATOTO WA SHULE YA LUCKY VINCENT WAWASILI KIA

By Mwandishi wetu, Mwananchi

Kilimanjaro. Furaha imetawala ujio wa watoto watatu wa Shule ya Lucky Vicent waliowasili leo Ijumaa, Agosti 18 wakitokea nchini Marekani kwenye matibabu baada ya kupata ajali Mei mwaka huu.

Wazazi na ndugu waliruhusiwa kuingia ndani ya ndege hiyo kuwapokea watoto wao ambao wamepata nafuu kwa kiasi kikubwa.

Wilson Tarimo alikuwa wa kwanza kushuka katika ndege akiambatana na mdogo wake aliyeingia katika ndege kwa ajili ya kumpokea.

Baada ya hapo aliyefuatia ni Saidia Awadhi pili akifuatana na Doreen Mshana kushuka katika ndege hiyo iliyokuwa na wajumbe 16 ambao waliambatana na watoto hao.

Baada ya kushuka walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira aliyeambata na viongozi wengine kutoka Mkoa wa Arusha.

Watoto hao wote wakati wanashuka walionekana wenye nyuso za furaha baada ya kukaa Marekani kwa miezi mitatu wakipata matibabu.

MSIBA DMV NA TANZANIA


Sarah, Sabrina Ally, Khadija Abullah wa New York na Biubwa Marumbo wa WashingtonDC. Wanasikitika kutangaza kifo cha mjomba wao Wilson Charles Amour kilichotokea ghafla nyumbani kwake DMV. Takoma Maryland. 


Shughuli za mazishi zitatangazwa baadaye. kwa sasa tujumuike pamoja na wafiwa na kuwafariji katika kipindi hiki kigumu.

Msiba upo nyumbani kwa Biubwa area
116 Lee ave apt 110. T
AKOMA PARK, MD, 20912. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na 
Sabrina  347 605-3276 au 
Khadija 347 307-6930 
Biubwa 12404766498.  
 Alban Abdul-aziz  785 550-2966

UKIPATA TAARIFA HII MTAARIFU NA MWENZIO

NEW SONG: Hear Our Cry - Varkeize Motema Feat. Larry SingLive and Daisy Nyokabi

This is a prayer for our beloved country Kenya and a call to all Kenyans to unite together. While many may have varied ways of championing for peace love and unity, this is my little contribution to this cause...

Below is youtube link to the video of the song.

Former Presidential Aspirant Appears Naked in Kenyan TVSeries

John Wanjohi  Thu, 08/17/2017 - 13:04  137 views 2 comment
Former Presidential Aspirant Appears Naked in Kenyan TV Series

COMMENT2
FACEBOOKTWITTERLINKEDINWHATSAPP
Former presidential aspirant and actress Kingwa Kamencu has sparked an online buzz after stripping naked in a local Kenyan television series.
Kamencu is however, unmoved by the attention and took to Facebook to express her “excitement” in playing the role. She postage a video of the new scene in her series dubbed “ Madame President.”
“Excited to share with you the first Episode of my new reality show, ‘Madame President ‘.” She declared.
In the video, the 33 year-old writer and 2013 presidential aspirant, appears nude on set and goes ahead to perform her acts for four minutes, with her genitals however, blurred in the footage