Alikiba awapa zawadi mashabiki Kwa Kuachia Video Mpya.....Itazame Hapa

Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Seduce me' Alikiba ameamua kuachia video ya wimbo wake wa zamani ambao ulivuja kama zawadi kwa mashabiki wake katika siku yake ya kuzaliwa. Alikiba ambaye jana alikuwa anasherehekea kumbukumbu ya mwaka wa kuzaliwa aliamua kuachia video ya wimbo wa 'Maumivu Per Day' kama njia ya kusherekea siku hiyo na mashabiki zake....
Read More

Picha: Mama Wema Sepetu atua Nairobi kumuona Tundu Lissu


Mama Mzazi wa msanii wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu wameenda Nairobi nchini Kenya kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Lissu ambaye anapata matibabu nchini huyo. Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekuwa akitibiwa Nairobi tangu aliposhambuliwa kwa kupigwa risasi September mwaka huu.  Viongozi...
Read More

Kenya set to build coast-to-centre highway to boost Africa trade (GRF)

markets.businessinsider.com 6 hours ago 

President Uhuru Directs Africans Be Issued with Visasat Points of Entry

John Wanjohi  Tue, 11/28/2017 - 10:58  339 views 16 comments
President Uhuru Directs Africans Be Issued with Visas at Points of Entry

President Uhuru Kenyatta has announced that all Africans visiting Kenya will be issued with visas at points of entry.
Delivering his maiden speech after being sworn in for his second and final term at the Kasarani Stadium on Tuesday, the President said Kenya will open up its borders to promote free movement and enable free trade.
“The freer we are to travel and live with one another, the more integrated and appreciative of our diversity, we will become. The political balkanization that risks our mutual security, the negative politics of identity, will recede as our brotherhood expands to embrace more Africans,” he said.
He added: “Today, I am directing that any African wishing to visit Kenya will be eligible to receive a visa at the port of entry. To underscore Kenya’s commitment, this shall not be done on the basis of reciprocity.”
The head of state also ordered that citizens from East African Community nationals be allowed work in Kenya freely without work permits.
“As a mark of our continued commitment to you, our Brothers and Sisters in the East African Community; from today, you will be treated like Kenyans. Like your Kenyan brothers and sisters, you will need only your identity card. You can now work, do business; own property, farm and if you wish, and find a willing partner, you can marry and settle in Kenya,” he stated.
“As l welcome you, l remind you that equally you shall be subject to the same rules and laws as your Kenyan brothers and sisters,” he said.
“You are our closest friends; our fate and yours are joined at the hip; our troubles and triumphs are yours, and yours are ours. I will work with you, my brothers, the leaders of the East African Community, to bring a renewed energy and optimism to our union,” he stressed.

President Uhuru Kenyatta's Full Inauguration Speech


President Uhuru Kenyatta's Full Inauguration Speech


President Uhuru Kenyatta's Full Inauguration Speech


Four Accomplishments over the Last Four Years thatPresident Uhuru is Most Proud Of

Irungu Thairu  Tue, 11/28/2017 - 12:37  193 views 3 comments
Four Accomplishments over the Last Four Years that President Uhuru is Most Proud Of

In his inaugural speech on Tuesday after being sworn into office for a second term, President Uhuru Kenyatta reflected on the last four years of his presidency, and cited four major accomplishments he is most proud of.
Among his accomplishments is the entrenchment of devolution, which Uhuru said has brought government closer to the people. “We have built a Kenya where every county is the centre of the nation; where every county is a centre of economic development,” said the president.
He also hailed reforms that have improved ease of doing business. In the last three years, the president said Kenya has risen 56 places in the World Bank’s Ease of Doing Business Index, from position 136 to the current 80. President Uhuru also touted the completion of the new railway system between Nairobi and Mombasa, which has shortened the travel time between the two cities and has been used by more than 500,000 Kenyans so far, as well as construction of thousands of new kilometers of roads across the country and the electrification projects that have connected millions of homes and thousands of schools to power.
Thirdly, President Uhuru said the introduction of a free maternity program has made child delivery much safer, where “our mothers no longer see the delivery of our children as a life-threatening experience.” He also said that the improved healthcare infrastructure as well as improvements in the NHIF has improved access to better healthcare to millions of Kenyans.
Fourthly, the president said his administration has brought reforms to the education system by improving the credibility of national examinations, making education more affordable by removing exam fees, providing digital learning devices, as well as through reviving technical and vocational training.

Uhuru Kenyatta Aapishwa Rasmi Kuwa Rais wa Kenya

Hatimaye Rais Uhuru Kenyatta ameapishwa rasmi kwa muhula wa pili wa miaka mitano katika sherehe zilizofana kwenye Uwanja wa Kasarani mwezi mmoja baada ya kuibuka mshindi wa uchaguzi uliosusiwa na mpinzani mkuu Raila Odinga. Kulikuwa na nderemo na shangwe katika uwanja huo kutoka kwa maelfu ya wananchi wengi wao wafuasi wa muungano wa chama tawala cha Jubilee waliojaa kwenye Uwanja wa Michezo...
Read More

PICHA 10: Tabasamu la Tundu Lissu Baada ya Kutembelewa na Makamu wa Rais Leo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Novemba, 2017 amemjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepata matibabu katika hospitali ya Nairobi nchini Keny...
Read More

BREAKING NEWS: Makamu wa Rais amtembelea Tundu Lissu Nairobi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea ma kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki kupitia CHADEMA, Tundu Lissu anayepatiwa matibabu jijini Nairobi Kenya. Makamu wa Rais ambaye alikwenda Kenya mapema leo asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa aliyekuwa Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta, alifika hospitalinia...

SAMIA AMTEMBELEA LISSU HOSPITALI

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi nchini hapa.
Msafara wa Samia umefika hospitalini hapa saa 11.43 jioni akiwa ameambatana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana.
Mwananchi lililokuwapo hospitalini hapo wakati Mama Samia, Balozi Chana na maofisa wengine wakiwasili hospitalini hapo.
Lissu amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 aliposhambuliwa Septemba 7 akiwa nyumbani kwake, Area D mjini Dodoma.
Makamu wa Rais amefika hospitalini akiwa njiani kurudi Tanzania baada ya asubuhi kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Uhuru Kenyatta.
Samia anakuwa kiongozi mkuu wa kwanza wa Serikali ya Tanzania kumtembelea Lissu hospitali tangu alipolazwa usiku wa Septemba 7

PICHA ZINGINE THANKSGIVING HOUSTON, TEXAS MNUSO WA PILI IJUMAA

 Wadau wakijumuika pamoja siku ya Ijumaa Novemba 24, 2017 Safari Club Miss asiyekua na mkoa Itika (kati) nae alikuwepo ndani ya mjengo.
Ni ukodak kwa kwenda mbele.
 Photo me wadau wakimwambia NY Ebra apate ukodak moment wakati wakiwa kwenye pozi matata.
Ukodak moment kwa kwenda mbele.
Ndio manaake Safari Club ilipendeza zaidi.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

PICHA ZINGINE THANKSGIVING HOUSTON, TEXAS


 Wadau wakiwa wamependeza kwenye mnuso wa Thanksgiving uliofanyika Houston jimbo la Texas na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali kutoka kila pembe ya Marekani.
 Ukodak Moment siku ya Ijumaa Novemba 24, 2017 mnuso wa kwanza Thanksgiving, Houston.
 Wadau wakila hepi mnuso wa kwanza siku ya Ijumaa Novemba 24, 2017 Houston, Texas.
 Ni raha kwa kwenda mbele.

 Ukodak kwa kwenda mbele. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi